Hatimae Sabodo achangia harusi.

Shillingi Million 60? Zote hizo za HARUSI wakati Watanzania hatuna VISIMA VYA MAJI?

Ameshachimba visima vingi sana vya maji. We unataka achimbe visima Tanzania nzima? Kwani serikali ya Tanzania iko wapi isichimbe visima nchi nzima?
 
Shillingi Million 60? Zote hizo za HARUSI wakati Watanzania hatuna VISIMA VYA MAJI?

"Binadamu hataishi kwa mkate tu" Sabodo ameshajenga visima vingi sana nji hii; kama angekuwa anasimamia matumizi ya pesa za wavuja jasho bila shaka tungefurahia sote; kwa hili la dr slaa kupata jiko, usisahau hayo ni maandalizi ya kuchukua dola, makapera hawawezi kuaminika kuchukua uraisi wa nchi!!
none the less, in life there is always a time to cry, a time to mourn and a time to make a hearty laugh; celebrate life and thank God almighty for his blessings, Never take life tooooooooooooo seriously because afterall you will never come out of it alive!!
 
Hii habari ni ya kupikwa haiweze kani harusi itakayo fanyika Karatu ikagarimu kiasi kikubwa namna hii... Kwa jinsi navyo mfahamu mzee Sabodo hawezi fanya kitu kama hicho...

Na kama ni kweli ilijambo litanishangaza sana kwani huko ukutakuwa ni matumizi mabaya ya fedha ambapo Slaa mara zote amekuwa akipinga serikali kuwa na matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi wa nchi hii

Itakuwa ajabu sana kama harusi ya Dr.Slaa itagarimu zaidi ya 15 million
 
naomba kuuliza wanagreat thinkers, hii HARUS ya DR itafungwa au pingamizi lililowekwa na Rose litakuwa limeikwamisha?

Pingamizi limeondolewa na mahakama kwa mujibu wa post imetumwa as BREAKING NEWS na fmpiganaji nadhani unaweza kuisoma humu humu jukwaani
 
Last edited by a moderator:
Shillingi Million 60? Zote hizo za HARUSI wakati Watanzania hatuna VISIMA VYA MAJI?

Sio jukumu la Sabodo kuwajengea waTanzania visima vya maji....yeye kuchangia visima haina maana ndio abebeshwe jukumu la kujengea watu visima vya maji kiasi hata haruhusiwi kuchangia harusi ya rafiki!
 
hivyo visima sabodo anachimba wapi? Maana vihele hele wangekuwa tayari wameshaleta picha na mahala vinapochimbwa
 
Shillingi Million 60? Zote hizo za HARUSI wakati Watanzania hatuna VISIMA VYA MAJI?

Embu kelelee uko...!!! umemgeuza Sabodo serikali au Dawasco... unadai utafikiri ni lazima... huna adabu... hapa tunaongelea Harusi ya Rais wetu.... THIS IS NATIONAL WEEDING.... hurray hurray... it will be holy holiday... Mahimbo na Rose Kamili harusi yao ni lini.... waiting....
 
HII ndio bongo HARUSI NA UMBEA its on tOP OF THE AGENDA...hapa nilipo nina kadi 5 za michango , na jamaa wanapiga simu kila siku kama niliwahi kuwakopa na ninatakiwa kulipa madeni...
 
Dr. Saita...

Wairaqw tuna huruma. Pongezi nyingi kwa hatua kubwa za kufunga Ndoa. Tunasikia michango mingi kwa ajili ya harusi yako na michango mingine mingi itakuja. Itakuwa busara ukitumia sehemu kubwa ya fedha hizo kusaidia kwenye elimu au watoto yatima kuliko kuziteketeza kwa siku moja kwenye harusi. Kila mtu angependa kuhudhulia hiyo harusi, nafikiri ukilipia kituo cha television kimoja ikaonyesha live tukio hilo itasaidia sana then wewe na watu wa karibu wachache mkakusanyika mahali kusheherekea.
 
Tumeanza kuendekeza Umaskini hata kwenye mambo ya kijamii??..Umaskini hautaondoka kwa stahili hii ndugu yangu..mwache Dr Slaa afurahie ndoa yake bwana tusianze kumuwekea masharti kibao.
 
Back
Top Bottom