Hatimae nimempata barafu wa moyo wangu

Nakadori

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
8,781
20,946
Ninatanguliza salamu kwa JF members,

Hivi karibuni nilikuja hapa nikiwa na shida ya kutafuta mwenza wa maisha. Ninashukuru kwani japo vigezo vilionekana kuwa vigumu lakini maombi yalikuwa mengi sana lna pia shuhuli ya kuyascreen na kutoka na ngano safi imekamilika salama, na hatimaye mfalme wa moyo amepatikana. Ninashukuru kwa mwitikio wenu.
 
Ha ha ha ha,mi huwa ni tomaso siamini ila hongera sana,natumai uhusiann utadumu,
 
Ninatanguliza salamu kwa JF members,

Hivi karibuni nilikuja hapa nikiwa na shida ya kutafuta mwenza wa maisha. Ninashukuru kwani japo vigezo vilionekana kuwa vigumu lakini maombi yalikuwa mengi sana lna pia shuhuli ya kuyascreen na kutoka na ngano safi imekamilika salama, na hatimaye mfalme wa moyo amepatikana. Ninashukuru kwa mwitikio wenu.

Mkubwa! Si umweke wazi tu? Ama ni mpaka kieleweke.
 
Anaogopa kumuweka wazi, usawa huu watu wana ukame na ndoa....hata ningekuwa mimi simtambulishi kwa watu eti, mweeeeehh
 
Hongera sana. Kupata barafu wa moyo wako ndani ya wiki tatu sio mchezo. Hope haitayeyuka mapema pia.
 
Akishirikiana na tanesco vizuri, atakuwa anaiweka kwenye jokofu, anaitoa tu saa ya kupooza moyo wake na kuirudisha

Na huu mgao wa umeme wa mara kwa mara si inaweza kuwa shida kushirikiana na Tanesco?
 
Mbele ya barafu ya moyo baba? Atawekeza kwenye kajenereta ka The Boss. Tanesco wakibuma tu anajiwashia,lol

Tatizo genereta za Ze Boss zina noise sana. Halafu bei ya mafuta inavyopanda mara kwa mara kajenereta kanawezamshinda.
 
Embu muweke wazi nimjue,
Isije ikawa ni yule alienikubalia na mimi pia,
Si wajua "job-seekers" hua hawaombi sehemu moja tu!!
 
Weeh sasa unazeeka banaa! Genereta unapewa 7 days trial na mafuta juu! Zikiisha unarudisha unasema halifai, unachukua jipya for another trial. Issue ni kuhakikisha KVA ni the same or else compressor itakua ya kununua daily,lol
Tatizo genereta za Ze Boss zina noise sana. Halafu bei ya mafuta inavyopanda mara kwa mara kajenereta kanawezamshinda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom