hatimae mpoto kapata nauli

Edson

JF-Expert Member
Mar 7, 2009
9,848
5,055
sijui nania alimpa nauli mrisho mpoto maana jana alikutana na anko wake

akamwambia yaliyo moyoni mwake, alimchana ki mtindo anko.....
 
ha haha lakini mwishoni aliniboa alivyomaliza mchano wake..sijui anataka kiti ikulu?
 
Wakuu itakuwa vyema sana kama kuna mtu ataweza kutupa link ya kusikiliza ujumbe aliopewa mjomba baada ya mpoto kupata nauli.
 
Wakuu itakuwa vyema sana kama kuna mtu ataweza kutupa link ya kusikiliza ujumbe aliopewa mjomba baada ya mpoto kupata nauli.

Link tutatoa wapi tena wakati ujumbe aliufikisha live kwenye maadhimisho ya miaka 46 ya muungano
 
Hongera sana Mpoto sijui shairi hilo tutalipataje?
Ngoja nipekue pekue
 
mimi nilisikiliza sehemu kubwa alikua anaongea kama hotuba. kama vile alikua anatungia palepale na kuingiza vionjo kidogo kidogo. nafikiri unaweza kuupata TBC AU CHANELL TEN.
ila anko mwenyewe alikua anacheka sana sana wakati anapewa ujumbe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom