Hatimae mgomo wa daladala watua moshi.

Garmii

Senior Member
Feb 26, 2011
164
19
Daladala zinazotoa huduma kati ya pasua na moshi mjin zimegoma leo asubuh kwa madai ya kutaka kupanda kwa nauli.
 
Kuna mgomo wa drivers wa daladala moshi,sababu ni kupanda kwa bei yamafuta,wakati huohuo wale wa BoDABODA WAMEPANDISHA NAULI HADI 2SH 2000
 
Kuna mgomo wa drivers wa daladala moshi,sababu ni kupanda kwa bei yamafuta,wakati huohuo wale wa BoDABODA WAMEPANDISHA NAULI HADI 2SH 2000

poleni nduguzetu wa moshi, ila mie sioni kama wenye mabasi ndiyo chanzo cha matatizo chanzo ni ewura kushindwa kudhibiti bei ya mafuta!
 
Wakuu siyo za pasua tu habari kamili ni kwamba daladala zote zinazotoa huduma za town trip zote zimegoma na ivi ninavyoandika nimetoka kcmc hospital kwa bodaboda na ni shilingi elfu moja.ni mji mzima wa moshi.
 
Poleni sana jamani.
Njoeni huku mpwapwa. Hali ni shwari kabisa.
 
Japo kuongeza nauli kutawaumiza wananchi...hali ya sasa hivi inawaumiza wao kwahiyo inawibidi kupandisha bei!Solution ni bei ya mafuta kupungua tu basi!
 
no wonder niliona watu wengi sana on road this mng, ila kwa moshi nauli imekuwa steady kwa muda mrefu sana, may be its about time nao wakafikiriwa
 
Back
Top Bottom