Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimae madawa ya kulevya yaruhusiwa Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by X GIRL FRIEND, Aug 14, 2012.

 1. X

  X GIRL FRIEND Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kwa mujibu wa tangazo jipya linaloonyesha watumia madawa ya kulevya wakipinga uchangiaji wa sindano wanapojidunga madawa hayo,..tangazo hili linaonyesha kuunga mkono matumizi ya madawa hayo huku likipinga uchangiaji wa sindano.
   
 2. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2016 at 11:41 AM
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 7,969
  Likes Received: 899
  Trophy Points: 280
  sijaelewa!!ingawa unaweza kuwa na point
   
 3. R Mbuna

  R Mbuna JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2016 at 11:44 AM
  Joined: Dec 30, 2015
  Messages: 668
  Likes Received: 836
  Trophy Points: 180
  Tangazo linahamasisha mateja wasichangie sindano wakati wa kujidunga ili wasiambukizane magonjwa so nadhani mleta mada anahisi ndio wameruhusu kutumia madawa ila wajilinde tu wachangie hizo sindano.

  Kama vile wanavyohamasishwa wapenda ngono wakumbuke kutumia kondomu ili kujikinga na STDs
   
 4. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2016 at 12:06 PM
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 7,969
  Likes Received: 899
  Trophy Points: 280
  Asante Mkuu kwa ufafanuzi. Hilo kwa kweli halikubaliki. Tuunganishe nguvu kuzuia hili na wadhamini wote wa hilo tangazo wachunguzwe kama wanashiriki kuuza na kusambaza mauaji hayo ya kizazi chetu.
   
Loading...