Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,462
- 21,334
Nasikiliza clouds fm jamani
inatia moyo baada ya hotuba ya mh pinda wamesema sasa
wanarudi rasmi hospitalini wakiwapa mwezi mmoja kabla ya kurudi
tena na kutaka kujua hatima yao
basi kama ulikuwa na clinic wiki hii na zilizopita basi kesho uwahi mapema asbh
hospitalini wale mliokimbiza wagonjwa tumieni jioni hiikurudisha mapema kabla
awajajaa wodini
mwisho lengu letu ni kuona kuna muafaka kati ya serikali na ma dk
tunawatakia msimamo mwema na mungu awabariki
mungu ibariki tanzania mungu wabariki ma dk wetu