Hatimae jamii forum yanipa mke mwenye sifa zote

Doubt any get many

hivi uume kusimama ndio ilikuwa kipimo chako kikuu cha mke mwema? Kwangu mimi hizi zilikuwa tamaaa!

Vigezo ulivyo vitumia kwa huyu wa mwisho ambaye unasema ni mke mwema sijaviona zaidi ya kusema uume wako ulisimama:
 
ningekuwa mimi ningebeba yule wa pili, haihitaj kumchunguza sana tabia yake sababu anajiachia kwa uhuru. huyu wa tatu, dah, inaweza kuchukua mwaka hujamsoma.!
 
Nachelea kuonekana nimejaa negativity mkuu, lakini nakusihi ufanye provision (nikitumia lugha ya kihasibu) kwa ajili ya uwezekano kwamba huyu mrembo ana mambo mengi ambayo hayatakupendeza...nazungumza hivi ikiwa mimi ni victim wa infatuations kama wewe tu..ni vema ukawa tayari kuendana na baadhi ya vitabia vyake ambavyo vitajionesha hapa mbeleni kwa sababu vinakuja..

Vinginevyo nawatakia kila la kheri mkuu..mvumiliane!!
 
thanx mkuu,nina mwaka mmoja wa kukaa nae katika hali ya uchumba,so,ntaendelea kuvisoma hivyo vitabia,
 
ningekuwa mimi ningebeba yule wa pili, haihitaj kumchunguza sana tabia yake sababu anajiachia kwa uhuru. huyu wa tatu, dah, inaweza kuchukua mwaka hujamsoma.!

je unaweza kuwa na mahusiano na mtu ambaye hamwendan kitabia?kama wewe ni wakujiachia ukipata wakujiachia mtaendana ila kama sivyo hamtaendana
 
Doubt any get many

hivi uume kusimama ndio ilikuwa kipimo chako kikuu cha mke mwema? Kwangu mimi hizi zilikuwa tamaaa!

Vigezo ulivyo vitumia kwa huyu wa mwisho ambaye unasema ni mke mwema sijaviona zaidi ya kusema uume wako ulisimama:

zile zilikua hisia tu ila wema wake nitaendelea kuusoma pole pole coz hauwez kuwa na mahusiano na mtu ambaye huna hisia nae
 
hahaha, nimeshaona nyingi aisee kiasi kwamba rubani wa ndege angekuwa anakaa peupe kama wa daladala nahisi ningekuwa namuelekeza pa kukata kona!Saa zingine najisikiaga kama rubani, kwi kwi kwi.
In a strange way hizo aircraft investigations zinanifanya nisiogope kabisa. Nikipanda small chartered aircrats kama rubani ni mmoja nitakaa nae mbele na kuuliza maswali kama mtoto hadi tufike.

kweli mwanamke akikosa wakumsifia lazima aje kujisifia jf,
nani anataka kujua kama unasafiri na ndege?ok,madam tumeshajua,so what next?
 
mfyuuuuu... Kitokoinzi we.. Umesahau mke ni wewe? Iv kwanza nkuulize, iyo habari ya kumuona mtu siku ya kwanza na kudindisha,af unajifagilia et mke aliekamilika, umempima kwa kudindisha? Teh teh teh dogo unauaaa

tofauti zimeeleweka kati ya wakwanza had wa tatu ila kwakua unatumia kichwa kufugia nyele kamwe hutaelewa
 
hahahaha dah hizi movie zime affect watu jamani wanatamani kuish maisha ya kimovie movie.
Ila mtunzi wa story amejitahidi sema itabidi atafte script writer na screen player mzuri. Muigizaji ukimweka JB si mbaya anaweza vaa uhusika bila kuwasahau irene wolper na wema pamoja na uwoya waka act kama hao wanawake.
JF now days inaanza kuwa home of people with illusions

this is not illusion
 
this is non fiction

Ooops, you better publish a fiction book! I like fiction books; I also like thrillers, fantasy, romance, Sci fi, mysteries, suspense and some horror. But literary fiction is my passion. Of course, if you could create another James H. Chase series, you would have it made!
 
hahahahaaaaaaaaa

hahaaahahahahahahahahaaaa

hahahahahahahahahahahahahahahahahaaaaaa

Asprin hubby njoo uone kazi ya majani, halafu plz weka ile picha ya mmea hapa

hahahahhahahaaaaaaaaaaaa hahahahaaaaaaaaaaa hahahahaaaaaaaaaaaaaaaa lol

lazima utakua mwanamke na kama ni mwanaume utakua huna kaz ya kufanya.
 
Last edited by a moderator:
hii ajabu kabisa yaani unamwona mtu kwa masaa afu nasema mke mwema
how do u know that?
mke mwema hujulikana baada ya maombi na kuchungazana kwa muda mrefu.
mke mwenye sifa zote zipi hizo umezijua lini?kwa muda wa saa chache?
we mtoto kabisa hata mwanangu wa miaka 7 atakushangaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom