Hatima ya Manji na Uchunguzi wa EPA

Mnyoofu

Senior Member
Feb 24, 2008
153
49
Wana JF

Habari za uhakika nilizozipata hivi punde ni kwamba Manji amekunywa sumu kwa nia ya kujidhuru, hivi sasa anakimbizwa aghakhan hospital kwa matibabu!

Tahadhari kwa vyombo vyetu vya usalama..anaweza kuwa anafanya kamchezo alikokafanya siku za hivi karibuni ka kujifanya amechanganyikiwa akaishia Nairobi..kumbe ni mbinu za kukimbia...hivi huyu jamaa ananyang'anywa lini pass yake ya kusafiria?

Wenye habari zaidi tuhabarisheni! Waliokaribu na aghakhan hospital tunaomba survaillence yenu ya kinachoendelea.
 
Last edited by a moderator:
Haya jamani tunasubiri kutoka Aga Khan Hospital...kama kuna memba atuletee maana pressure iko juu.
 
Mh! Kama ni kweli jamaa yamemfika kunako! Tusubiri habari kutoka Agha Kan...
 
Duh,leo presha zitatupanda sana.Asubuhi ilikuwa juu baada ya tetesi za akina Rostam na sasa imepadna tena baada ya tetesi hii.Lakini yote kheri
 
Duh,leo presha zitatupanda sana.Asubuhi ilikuwa juu baada ya tetesi za akina Rostam na sasa imepadna tena baada ya tetesi hii.Lakini yote kheri

Aaamin! nadhani ipo siku utalala hai tu.....

nadhani na close associates wake kama kina mtikila waliomkopa inabidi wahojiwe pia...
 
Afadhali kwani ameanza kujenga nidhamu ya Japan.Very good,ndiyo maana kwenye ile thread ya kumtaka mramba ajiuzulu nimesema tunahitaji nidhamu ya viongozi wa Japan.ukituhumiwa tu na kwamba unajua kweli umepora,jiangamize mwenyewe tukadaiane mbele ya haki huko baadae
 
hata mara ile ya kwanza niliwaambia hapa ndani ya JF alikunywa sumu na hakuwa na malaria wala nini.... kama kanywa tena ni mara ya pili itakuwa!!!
 
hapana asife sasa hivi bado tunamhitaji ili arudishe mapesa ya watanzania
 
how the hell is Mtikila close to Manji...lol acheni masihara... Manji is the owner of the Largest Conglomerate in Tanzania. Ni fisadi na mfuga mafisadi but he is not closely associated na Mtikila... Please!!!
 
hata mara ile ya kwanza niliwaambia hapa ndani ya JF alikunywa sumu na hakuwa na malaria wala nini.... kama kanywa tena ni mara ya pili itakuwa!!!

Wakinywa sumu mafisadi 10 hivi wakafilia mbali huko, Tanzania will be a safer place. Si wanahatarisha uchumi na usalama wa nchi hawa, au mi ndo sikusikia vizuri!!
 
Naona mwenye nyumba amepuliza dawa ya kuuwa wadudud kila mmoja anatoka kivyake mende, buibui,mijusi, sisimizi kila mtu njia yake...Si mchezo nadhani wengi watakuwa matumbo joto na songombingo inayoendelea!!!
 
Wakinywa sumu mafisadi 10 hivi wakafilia mbali huko, Tanzania will be a safer place. Si wanahatarisha uchumi na usalama wa nchi hawa, au mi ndo sikusikia vizuri!!

20 more will pop-up.. Dont underestimate the power of a corruptable society. And that is what we are. Corruptable Tanzania.
 
jamani,tusitumie uwepo wa matukio kuandika chochote...mnataka wazee wa Jangwani tuandamane eeh!!
 
Aaamin! nadhani ipo siku utalala hai tu.....

nadhani na close associates wake kama kina mtikila waliomkopa inabidi wahojiwe pia...

Nikusahihishe mkuu, Mtikila alimkopa Rostam (kama kweli) na si Manji. Jamani au isikuta kazidiwa madawa yaleeeeee. Si unajua anabwia yule!!!!!!!
 
Nadhani habari ya Manji kupelekwa Agha Khan si ya kweli.yale yale ya karamagi ...labda anywe kesho.
 
Nikusahihishe mkuu, Mtikila alimkopa Rostam (kama kweli) na si Manji. Jamani au isikuta kazidiwa madawa yaleeeeee. Si unajua anabwia yule!!!!!!!

Ooops thanks, unajua wakati mwingine kuwatenganisha hawa inakuwa kazi kweli kweli!
 
Back
Top Bottom