Hatima ya hapa ni nini?

Cha Ukwee

Member
Dec 17, 2010
31
0
...mapenzi-mapenzi-mapenzi....samahini wana jf?? Heshima na iwe nanyi nyote...
...sihitaji kutoa maelezo mareeeeeeeeefu ya tumetoka wapi na huyu mpenzi wangu bali naona bora niweke ubaoni kusudio lengwa la maandishi haya...
Kifupi na mpenzi wangu ni muda mwingi sasa tupo pamoja...
Lakini pamoja na huo muda mwingi chakushangaza anawapa muda mwingi wa kukaa na kuongea marafiki zake kuliko mimi mbaya marafiki wenyewe ni wakiume leo huyu kesho yule...
...kutwa kaenda na huyu hapa au kaenda na yule pale,je?
1.hiii ni sawa?
2.hawa ni marafiki tu?
3.kwanini mimi anipi muda nikiwa kama mpenzi wake?
......mwisho yeye mkali sana akijua na urafiki au nachat na rafiki yangu wa kike kiasi kwamba mara nyingi utupasa kuwapigia simu hao wasichana na kuthibitisha kama ni madem wangu au laaa....
aksnteeeeeeni.
 
Kaka ndo walivyo. Ukiona hivyo sepa inabidi wewe upewe muda mwingi. Na kama huwezi sepa basi mvumilie..
 
Pole sana,kaa nae umweleze jinsi unavyojickia yy kutokupa nafasi ya kuwa nae kama mpenzi wako.kama anakupenda kweli atakusikiliza na kubadilika,ukiona hana mwelekeo ujue hapo unashika pembe tu sepa zako.
 
Acheni kuuliza maswali ambayo huenda hampo tayari kupokea majibu sawia....
 
aaaaaah aksanteni sana mnanipa msingi wa mwelekeo ujao,taeshimu mawazo yenu.
 
...kona kali ukweli aukwepeki ndugu ata kama una uma lakini naamin ndiyo jambo bora linaloweka mustakabari imara kwa swala husika
...sijawai na sitazamii kuogopa majibu..............
mwagaaaaaa meeeengi na kweli TUPU....
 
TATIANA...katika fikra za kawaida je naitaji kumwambia juu ya hilo siyo kwamba yy mwenyew inabidi awe ana chekecha bongo mana muda mwingine tunaeza kuwa tupo nae lakini anataka niondoke ili aende out na jamaa tu eti mshakaj wake au anaenda kum visit...
mimi nazan hapo kwa mtu mwenye kujali na kutambua anang'atuka binafsi....
lkn cjui ur a gal labda swaga hizi unazjua zaid......
AKSANTEEEEEEEEEE
 
...kona kali ukweli aukwepeki ndugu ata kama una uma lakini naamin ndiyo jambo bora linaloweka mustakabari imara kwa swala husika
...sijawai na sitazamii kuogopa majibu..............
mwagaaaaaa meeeengi na kweli TUPU....
Mkuu,
kwa uchache wa maelezo uliyotoa basi mchangiaji pia kutokana na kutoelewa story yote huchangia kile alichokifahamu.

Kama hali ni hiyo uliyoieleza ni kuwa wewe si chaguo la huyo mrembo "wako". Bado hajapata chaguo lake ila pia hawezi kuachia ngazi bila ya kuwa na uhakika wa pengine. Kwa hiyo, ujitaayarishe na kukubali kuendelea na "Tom& Jerry " yenu kwa muda mrefu mpaka mmoja wenu atakapopata chaguo linaloendana na matakwa na matarajio yake.
 
siku zote mwizi anadhani mwenzie nae mwizi.kama anajiamini lazima akuamini na wewe hapo ipo namna kijana huyu mtoto si wako kuna wajanja wanakala asali hapa na pia hana uhakika kama unamfaa kwa ufupi ogopa kupenda asiekujali.
 
Back
Top Bottom