Hati ya mashtaka waliosomewa chadema hii hapa

29TH ACCUSED:
Name: Swalehe Salumu
Tribe: Arab

Age: 25 years
Religion: Moslem
Occupation: Peasant
Residence: Oljoro, Arusha

Kama kawaida, Waarabu utawaona ila WAHINDI, mhhhhhh...................

Wahindi wao wameshajifungia siku nyingi sana ndani. Nina uhakika wengi walishaondoka kwenda Kenya mara waliposikia kuna Maandamano na Mkutano. Huyu Mwaarabu ni SHUJAA sana na inabidi tupate picha yake maana yupo na sisi bega kwa bega.
 
Asante, Wililiki kwa charge sheet.
Kilichofanyika leo, ni kuandaa hati ya mashitaka kwa mtindo wa zimamoto hivyo kulipua lipua tuu ili kutimiza matakwa ya kisheria ya kufikishwa mahakamani ndani ya saa 24 tangu kukamatwa.

Kisheria, kwa charge sheet hiyo, pale hakuna kesi, kwanza ni bailable na pili its nothing!.
Angalizo, mabingwa wa kuchakachua kesi wa polisi toka polisi makao makuu, wameshatua mjini Arusha leo, kutengeneza kesi ya msingi, hivyo klesi itakapotajwa tena, serikali, itabadilisha hati ya mashitaka kwa kuwageuzia kibao Chadema kuwa ndio waliosababisha vifo vile, msishangae kama itageuzwa muder case 'unbailable!' jamaa kushikiliwa na polisi, by the time wanaachiwa, mabingwa wa kufanya mambo, watakuwa wameshafanya mambo, wakitoka tuu, sio wale wale waliongia, bali wengine kabisa!

Kusema kweli, kuna wakati huwa namkumbuka spika Sitta, asingekubali, wabunge wa Bunge lake wadhalilishwe namna hii kwa sababu za kipuuzi zisizo na kichwa wala miguu!.
 
hawamfungi mtu yeyote sana sana itakula kwao au wamuongeze na Tendwa aliyeruhusu maandamano,mapinduzi daima.............
 
acha ukabila na udini chama kinatetea masirahi ya watanganyika sasa cuf mbona wengi ni waisilam kwa nini usiseme sisi tunachagua yule anayetutetea bwana huku tuna diwani wa cuf wakati hakuna mwislam hata mmoja hizo hoja ni potofu tuonyeshe ukomavu
 
Pasco,

Wakati wao wanapeleka Mashitaka Mahakamani, nina imani pia Tundu Lissu atakuwa anapeleka mashitaka yake pia Mahakamani huko kuishitaki Serikali na pia wakati huo wakiandaa riport kuipeleka The International Criminal Court. Hii ndiyo njia pekee ya kuzuia unyama huu usiendelee. Kama watadai kuna mauwaji, sawa acha wachakachue. Ila huko Hague hakuna kuchakachua tena.

Wanaweza wakawa wajanja leo ila kuna siku na wao wataonja joto ya JIWE. Wakati UKUTA, ukipigana nao, utaumia mwenyewe. Kama wameweza kutudanganya miaka 50, basi mwisho wao unakaribia na watu hawataki tena kudanganyika. Mwanzo wa ngoma ni LELE.
Asante, Wililiki kwa charge sheet.
Kilichofanyika leo, ni kuandaa hati ya mashitaka kwa mtindo wa zimamoto hivyo kulipua lipua tuu ili kutimiza matakwa ya kisheria ya kufikishwa mahakamani ndani ya saa 24 tangu kukamatwa.

Kisheria, kwa charge sheet hiyo, pale hakuna kesi, kwanza ni bailable na pili its nothing!.
Angalizo, mabingwa wa kuchakachua kesi wa polisi toka polisi makao makuu, wameshatua mjini Arusha leo, kutengeneza kesi ya msingi, hivyo klesi itakapotajwa tena, serikali, itabadilisha hati ya mashitaka kwa kuwageuzia kibao Chadema kuwa ndio waliosababisha vifo vile, msishangae kama itageuzwa muder case 'unbailable!' jamaa kushikiliwa na polisi, by the time wanaachiwa, mabingwa wa kufanya mambo, watakuwa wameshafanya mambo, wakitoka tuu, sio wale wale waliongia, bali wengine kabisa!

Kusema kweli, kuna wakati huwa namkumbuka spika Sitta, asingekubali, wabunge wa Bunge lake wadhalilishwe namna hii kwa sababu za kipuuzi zisizo na kichwa wala miguu!.
 
90% are Chagga.?????

Tukio limetokea nyanda yenye wachaga wengi halafu wewe unataka kuwe na 90% ya wanyakyusa? Kabla hujatoa takwim zako fikiria mazingira ya tukio kwanzasio unaropoka tu!! 90% are chagas unataka wawe wa Ngoni?
 
Ukweli mimi nimeumia sana kwa haya yaliyotokea Arusha.Nguvu iliyotumika dhidi ya ubinadamu ni kubwa sana na hata mashtaka yenyewe yanatia shaka kutokana na taarifa kuwa walipata kibali toka kwa Tendwa. Hata hivyo la kujiuliza ni mamlaka gani ya mwisho yenye mandate ya kutoa kibali cha kufanya maandamano ya vyama vya siasa? je ni Tendwa na Police? Hili ni doa kubwa kwa demokrasia ya nchi yetu na JK ajue kuwa damu ya mwanadamu huwa haipotei bure. Naona Nahodha kaanza vibaya.
 
Hehe mbona accused no. 11 kazi yake kwa kiswahili?Wameshindwa kutafsiri!Nwyz hafungwi mtu hapo...Dr. atakua amejipanga kuwaaibisha mafisadi!
 
Kwanza nitoe pole kwa ndugu wa waliopoteza maisha yao, pili pole kwa walioumia katika harakati za kudai haki zao, tatu pole kwa waliokamatwa na vibaraka wa watawala kwa eti kuandamana.

Polisi wa Tanzania, hawana mfano, hili kosa ambalo jamaa wameshtakiwa nalo mahakamani halihitaji Tindu Lissu asimame kuwatetea, chukua wanafunzi watatu wa 1st year facult of law yoyote Tanzania, halafu wape hii kama swali la moot court na Said (Mwema) wrong choise of name could have been fit to call him the Meru Butcher akae kama prosecutor akisaidiwa na Andengenye, walahi Saidi na Andengenye watatolewa kamasi na watoto wa shule.

Hapo hakuna kosa kabisa, wanajishaua tu waonekane waliyofanya jana ni halali.
 
uwezi kuzuia ukweli serikali inazidi kuipa chadema umaarufu wao wangewaacha tu
 
Nikisoma Post zako nachoka.
Any way, nimegain kitu kutoka kwako. Wewe ni Punda na utaendea kuwa Punda hadi unakufa
Haki itendeke kwa nani na adhabu itolewe kwa nani?
Hebu ficha basi upumbavu wako.

Ni kweli, yawezekana tena Punda mtoto ambaye hajui uchungu ambao wazazi wake wanaupata kwa kupigwa mijeredi! Yaelekea jamaa ni kinu cha kukobolea nafaka, maana kila anachotoa pumba!
 
Back
Top Bottom