Hati ya mashitaka waliyosomewa viongozi wa CHADEMA leo Arusha

Wasubiri tu kama mungu amepanga wao kuongoza wataongoza lakini msilazimishe kwa kuharibu amani ya nchi.
 
Laiti nguvu zote walizotumia polisi kuzima maandamano hayo wangezitumia kuyalinda, wangepata sifa kem kem kutoka kwa jamii. Badala yake sasa wanapata matusi! Kweli polisi wetu hamnazo!
 
JK=RAIS
BILALI=MAKAMU WA RAIS
PINDA=WAZIRI MKUU

Contracts zao mpaka 2015. Tujenge nchi mengine hayasaidii. Tutakufa bure na kuacha mayatima na wajane. Tutie AKILI
 
Jamani kweli hii ni haki. Kupiga watu wanaodai haki. Halafu mnasema wachaga na wakatoliki ? Naombeni jamani acheni kushabikia hali ni mbaya. Hivi wanatia petroli kwenye moto badala ya kutatua tatizo. kwa kupiga watu chuki inazidi kuongezeka sehemu nyingi za Tanzania
 
Laiti nguvu zote walizotumia polisi kuzima maandamano hayo wangezitumia kuyalinda, wangepata sifa kem kem kutoka kwa jamii. Badala yake sasa wanapata matusi! Kweli polisi wetu hamnazo!


Na jinsi nchi hii inavyoendeshwa kihovyo, unaweza ukakuta amri ya kuwapiga waandamanaji ilitoka kwa watu kama vile Makamba au hata RA. Huyu RA ndiye rais wetu, wangapi wanabisha?
 
Nimeongea nao watu wengi leo hii hapa Morogoro Hawajaridhika kabisa na nguvu zilizotumika kuwapiga watu wanaoandamana kwa amani.
 
Watalijua jiji, na nimesoma yote ni Chaggas, Iraq, na kale ka sifa ketu ka ukatoliki wote wanako, kweli hiki si chama ni genge la wahuni kama alivyosema Shibuda


Shirikisha Ubongo japo kidogo unapoongea.
 
kumkataa JK pia ni ufisadi kwa sababu ameshinda na anatekeleza majukumu yake vizuri. Tatizo CDM wana pupa ya madaraka.

Damn?? Kweli 'nyani haoni kundule'.. Yaani nani aliye na pupa ya madaraka kama si mwizi wa kura za wananchi?

Nakwambia ukweli hii dhambi aliyo itenda Jk ya kukubali kuiba kura za watu ili awe raisi, itamtafuna hadi hapo pumzi ya uhai itakapo mtoka! Hakuna adhabu iliyo kubwa kama kusutwa na dhamira yako! na malipo ni hapa hapa duniani
 
Kupanda kwa umeme JK alishasema sio suala la kisiasa bali ni uchumi. Gharama za uendeshaji zimepanda. Kwa hiyo CDM watafute hoja critiqie na sio kuhadaa wananchi wanyonge. Jamani tumechoka kuuawa. Kama ni maandamano basi waandamane viongozi peke yao na sio kutumia raia wasio na hatia.
You Looks stupid anyway maana hata huo uchumi unaoosema hauujui. Shut up that mouth that your using to piddle
 
JK=RAIS
BILALI=MAKAMU WA RAIS
PINDA=WAZIRI MKUU

Contracts zao mpaka 2015. Tujenge nchi mengine hayasaidii. Tutakufa bure na kuacha mayatima na wajane. Tutie AKILI
Tumeshajitolea kufa na tutakufa na wewe, usijali, tutakuwa wote siku tunakufa.
 
JK=RAIS
BILALI=MAKAMU WA RAIS
PINDA=WAZIRI MKUU

Contracts zao mpaka 2015. Tujenge nchi mengine hayasaidii. Tutakufa bure na kuacha mayatima na wajane. Tutie AKILI

We ushakufa kiakili wanao ni mayatima tayari...
 
Originally Posted by GeniusBrain Watalijua jiji, na nimesoma yote ni Chaggas, Iraq, na kale ka sifa ketu ka ukatoliki wote wanako, kweli hiki si chama ni genge la wahuni kama alivyosema Shibuda

Si bure watakuwa wanaku-do!
 
Wanadamu sijui tupoje. Watu wamedai katiba tumewacheka . Raisi kakubali kubadili tumedandia. Arusha maandamano kwajili ya maisha ya mtanzania maskini, tunapanua midomo na kucheka. Kesho yanakuja mafanikio kwajili ya maandamano ya arusha tunadandia tena na kujifanya ndio madereva. Ni upuuzi kabisa huu.

Hakuna kitu cha bure. Watanzania wa leo wangekuwapo enzi za mkoloni, tungeibiwa hadi wake zetu kwa umbumbumbu kama huu.

Etu tutambue kazi wanayo ifanya wenzetu. Umeme hakuna, maji hakuna, foleni ndoo kabisa, barabara zote mbovu, maish magumu, ajira hakuna halafu mtu analeta ushabiki wa ajabu hapa.

Solution kila mtu anaju ni kuitoa ccm, na kama kipo chama kinacho kubaliwa kiaCHE kikubaliwe.

Asanetni
 
kwa mtindo huu na hali hii isiyoeleweka wanatishia kuwafunga wanao pigania haki zao zilizoko kwenye katiba hii hii yao wenyewe? wapanue magereza na waajiri polisi wengi kama wanafikiri ni suluhu. MJUSI UKIUKIMBIZA SANA MWISHO HUGEUKA NYOKA
 
Back
Top Bottom