Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mahali pa tukio ni Arusha,ulitegemea wawe wagogo?
aisee naona wachaga tupu
aisee naona wachaga tupu
Sawa kabisa.. Na zingetokea zanzibar ungeona wapemba tupu.aisee naona wachaga tupu
Watalijua jiji, na nimesoma yote ni Chaggas, Iraq, na kale ka sifa ketu ka ukatoliki wote wanako, kweli hiki si chama ni genge la wahuni kama alivyosema Shibuda
Watalijua jiji, na nimesoma yote ni Chaggas, Iraq, na kale ka sifa ketu ka ukatoliki wote wanako, kweli hiki si chama ni genge la wahuni kama alivyosema Shibuda
Taliban!kwa kweli huenda walikuwa wanpita na shughuli zao lkn bahati ikawa sio yao maana waliobakia wote wanaonekana kwa ushahidi wa kimazingira wamehusika
Kupanda kwa umeme JK alishasema sio suala la kisiasa bali ni uchumi. Gharama za uendeshaji zimepanda. Kwa hiyo CDM watafute hoja critiqie na sio kuhadaa wananchi wanyonge. Jamani tumechoka kuuawa. Kama ni maandamano basi waandamane viongozi peke yao na sio kutumia raia wasio na hatia.
sijui kwa nini mimi nimezaliwa kwenye hiki kipande??????