Nyamtala Kyono
Senior Member
- Sep 23, 2010
- 163
- 34
Nimekuwa nikijiuliza sana hili swali
Inasemekana sisi Tanzania ndio waongeaji wakubwa wa lugha ya kiswahili duniani, hivyo ni kama hii lugha adhimu sisi ndio wamilki
Je, kuna hatimiliki katika lugha? Sisi tunanufaikaje kutokana na lugha yetu kupendwa na watu wengine na kutumiwa na watu wengine?