Hatari za facebook

watu wanaweza ku copy picha zako toka huko na kuzifanyia editing na kuzisambaza kukukomoa, mi sitaki tena kutumia face book kimeo
 
kitaambo nlishatokaga huko...im no longer in those facebook stuff..real life.
 
Hayo madhara yanategemea mtu na mtu, kwa mfano mimi kupitia Facebook nimeweza kuwapata marafiki zangu wa zamani na nimeweza hata kupata madili kutoka kwa hao watu,, kila siku huwa na-log in kucheki kama kuna update ya maana na ku-log out kama hakuna.. Ingawa wakati mwingine inashangaza unakuta mtu ame-update status yake, Mfano: "Leo nimekula ugali maharage, ni mtamu kweli" au "haters go to hell" na unakuta comments kibao zinamsapoti... Hao ndiyo wameathirika labda.
 
1 up to 3 i tink inahusu wengi,so hw can we solve dis?
For example,mi na surf through my 4ne,sasa kwa issue ya virus,is ther any anti virus ya ku instal kwenye cm?
Plz any help. . . !

Mkuu zipo nyingi tu kama Karpesky antivirus,My mobile antivirus au Netquin antivirus. Ukishainstall utapewa trial period kama mwezi mmoja kisha utalazimika kununua full program.Ni rahisi na Kapersky ndio iko vizuri zaidi.
 
Back
Top Bottom