Hatari ya matumizi ya Diclopa na Diclofenac ni zaidi ya mafuta ya Ubuyu

nasii

New Member
Jun 27, 2013
2
1
Radio dutch velle ya ujerumani imetangaza kuwa dawa za diclopa na diclofenac ni hatari kwa matumizi ya binadamu imegundulika vidonge hivyo husababisha kansa ya Ini na ubongo ugonjwa wa moyo vidonda vya tumbo vifo vya ghafila
 
Nashangaa TFDA wanakomalia mafuta ya ubuyu sijui kwa sababu yanapatikata MAGWEPANDE kwa uwingi?Hili mbna hawalikanushi?au kwa sababu wao ni watu wa kimapokeo tu ya utafiti wa Wamagharibi?-Aibu sana unapochanganya taaluma na siasa its a disgrace for sure of ur professional

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Magwepande ndio wapi huko mkuu?

Nashangaa TPDF wanakomalia mafuta ya ubuyu sijui kwa sababu yanapatikata MAGWEPANDE kwa uwingi?Hili mbna hawalikanushi?au kwa sababu wao ni watu wa kimapokeo tu ya utafiti wa Wamagharibi?-Aibu sana unapochanganya taaluma na siasa its a disgrace for sure of ur professional

TPDF ulikuwa unamaanisha TFDA Mkuu
 
TFDA walishaliongelea hili na kutoa taarifa kwa umma...soma hapa chini:

Madhara ya Dicrofenac - TFDA

Nashangaa TPDF wanakomalia mafuta ya ubuyu sijui kwa sababu yanapatikata MAGWEPANDE kwa uwingi?Hili mbna hawalikanushi?au kwa sababu wao ni watu wa kimapokeo tu ya utafiti wa Wamagharibi?-Aibu sana unapochanganya taaluma na siasa its a disgrace for sure of ur professional

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Na sasa hivi pia wameziondoa sokoni dawa aina ya Vicks Kingo na Cofta pia wakati zilishatumika miaka kibao
 
Dah basi ntakuwa nshachoma maini yangu maana nilizibugia sana kwa km siku mbili hivi mpaka nilivyong'oa jino
 
wanatuchanganya tu sasa na panadol hivo hivo sasa tukisikia maumivu tufanye nini ? ujinga huu. sasa mbona awasemi tumeze nin tukiwa na maumivu.
 
Karibu kila dawa ina side effect/madhara hivyo ni vizuri kuzitumia kwa kufuata ushauri wa Wataalamu.
 
Back
Top Bottom