Hatari: Vita hailetwi na CCM wala CDM, anaeileta ni huyu hapa

Logo

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
588
48
Wachawi1 001.jpg Wachawi1 001.jpg
 
Zingine zimenishinda kuzipachika ngoja internet ikirudi nitazidumbukiza
 
nakumbuka 'biashara ya uchawi Tanzania' ya Maji moto, bila shaka hapa kuna koneksheni fulani, ila bismilahi hata mie hoi.
Mwaga vitu fasta tujionee maruweruwe.
 
vita italetwa na CCM tu! usituletee vimaandishi vya kubuni na kuhamisha attension za watu! watu kwa sasa wanaelewa adui yao ni CCM tu na si hivyo vitu vya kubuni!
 
Hizi conspiracy noma!!! Na nia yake ni moja tu...kuwatoa watu kutoka kwenye ukweli halisi na kuwaaminisha uongo! Pole sana mkuu kwa kutumika vibaya!!! Wamekulipa shilingi ngapi?
 
Logo... huwezi kupata hizi attachments kama wewe si mmoja wao

Ntavuana nguo woote na laana zenu
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom