HATARi TUNAYOICHEKELEA (PICHA)

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Vijimambo vya fainali ya kiduku Thursday, May 06, 2010 3:02 AM
Ile fainali ya mchezo wa kiduku ambao wanaume huvaa nguo za kike wakishindana kukatika mauno kama wanawake imefanyika na muaandaji wa mashindano hayo amepongezwa kwa kuwaletea wabongo ubunifu mpya ingawa baadhi ya wadau wanahofia mchezo huo utawaharibu vijana. Ilikuwa ni usiku ambao kusema kweli nilisikitika kumuona mwanaume akiwa amevaa sidiria na gagulo akikatika viuno kama mwanamke.

Kijana mwingine naye bila haya aliyabenua makalio yake kumuelekezea mwenzake huku akikata mauno ambayo yalinifanya nijiulize wapi tunawapeleka vijana wa taifa la kesho.

Hiyo ilikuwa ni sehemu ya vionjo vya fainali ya kiduku ambapo vijana wa kitanzania walishindana kukata mauno kuwania dola 250.

Katika fainali hiyo kundi la Visqua toka kiwalani ndilo lililowashinda wenzao kwa mauno na kutunukiwa dola 250.

Mamia ya watu walifurika kwenye ukumbi wa Travertine, Magomeni kushuhudia fainali hizo.

Ingawa baadhi ya wadau wanauona mchezo wa kiduku kama vile unawahatarisha vijana kugeuka kuwa mashoga, muandaaji wa mashindano hayo Maimartha wa Jesse alipongezwa sana na kusifiwa kwa ubunifu wake wa kutuletea watanzania mchezo mpya aliouita kiduku.

Wiki mbili zilizopita niliwaletea picha za hatua ya awali ya mashindano ya Kiduku na wadau wengi walikasirishwa na wanafunzi wakiwa katika unifomu za shule kushiriki kwenye mashindano hayo.

Vijana wengine walionekana wakiwa wamevaa vipande viwili vya kanga hali iliyowafanya watu wengi waweke maswali ya kuuliza muandaaji wa kiduku ana malengo gani.

Mgeni rasmi wa fainali za kiduku zilizofanyika jumamosi alikuwa mbunge wa Kinondoni, Mh. Iddi Azzan. 4710.jpg 4706.jpg 4690.jpg
 
Hakika mimi siungi mkono hii sanaa ambayo kwa sehemu kubwa inawahusisha watoto wa shule wa kiume kuvaa nguo za kike na kukata mauno jukwaaani.
Maimartha wa Jesse kwa ili SIKUUNGI MKONO KABISA ni abuse ya watoto wa shule for your personal gain.
 
Yaani na mbunge Azzan naye anacheza kiduku!!!!! Hawa ndio viongozi gani??????........kudadadeki!!!!
 
Nchi imekosa viongozi....... Mbunge baada ya kufanya shughuli za maendeleo, anahamasisha na kucheza mchezo wa kishoga!!.. agrrrrrrrrr
 
Afadhali ndugu yangu Boflo a.k.a Bwabwa wa zamani umeona kuwa ushoga haulipi na ni laani iangamizayo taifa.
Ubarikiwe sana.
 
Hii kweli nchi ya wafata upepo....kama alivyosema JK, Uchaguzi ukija utasikia huyo mbunge kashinda kwa sunami
 
attachment.php



Huyu kijana pichani kulia alievaa katai kafupi na kuweka mkono wa kulia kifuani mwake na mmoja manzese inaoneka tayari anatabia za kishoga. Mungu nusuru hichi kizazi.
 
attachment.php



Huyu kijana pichani kulia alievaa katai kafupi na kuweka mkono wa kulia kifuani mwake na mmoja manzese inaoneka tayari anatabia za kishoga. Mungu nusuru hichi kizazi.
hahahah....nguli uko sahihi, unaonekana wewe ni mtaalam.... angalia hata anavyocheka, mcheko wa kishoga huo!!
 
Azani na yeye kwani anaaminika jamani!!!!!!.......inawezekana. mtu mzima na akili zako huwezi kutumiwa ktk shughuli za kishoga.
 
Afadhali ndugu yangu Boflo a.k.a Bwabwa wa zamani umeona kuwa ushoga haulipi na ni laani iangamizayo taifa.
Ubarikiwe sana.

Lakini cha ajabu bado anafuatilia habari na matamasha ya kibwabwa !!
 
gabu .....ulitaka nani afuatilie?

mtu kuwaletea habari ishakuwa sasa mumkashif yeye ...............hebu zungumzia tukio husika, hapa sio kuhusu boflo wala bwabwa.

hii kitu wenye ngo za kupigania haki za watoto, hebu na waigusie suala hili ................ni aibu
 
What a shame?? Viongozi wetu kukubali mialiko potofu badala ya kukemea kabisa utamaduni huuu potofu!!! Mbunge wenu huyo na pengine utasikia awamu ya nne ngwe ya pili ni waziri wa Wizara ya Michezo, Habari na Utamaduni!
 
1. Oh! my God - kazi za shetani 100%
2. Hivi hakuna kitengo cha kuchuja sanaa/michezo inayoanzishwa au kuingizwa nchini? Wizara ya utamaduni na michezo inafanya kazi gani sasa??
3. Parents chungeni watoto wenu na kuwaombea pia - hali ya hewa sio nzuri jamani - punguzeni uhuru kwa watoto - waende watakapo etc. ukifikiria ni improvement ya social life
4. Waombaji tuzidi kuliombea Taifa la Tanzania - naona shetani amepania na tutamshinda kwa kumpiga vita kwa njia zote
- maombi, kufunga, kuvunja hizi roho zisifanikiwe kutenda Kazi
5. Vyombo vya habari navyo vikemee hadharani vitendo vyote visivyo na faida na kuaibisha kwa jina la STAREHE
MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Wenzetu kule Anglican inawapa shida sana hoja hii. Tatizo siku hizi hatuna "Baba" ambaye anaweza kukemea mambo kama haya, visingizio utandawazi.
 
Katika fainali hiyo kundi la Visqua toka kiwalani ndilo lililowashinda wenzao kwa mauno na kutunukiwa dola 250.

Mamia ya watu walifurika kwenye ukumbi wa Travertine, Magomeni kushuhudia fainali hizo.

Mgeni rasmi wa fainali za kiduku zilizofanyika jumamosi alikuwa mbunge wa Kinondoni, Mh. Iddi Azzan.

Kwenye zawadi ya washindi ulikuwa na maana ya dola 2,500 au hiyo uliyoandika?? - maana kama zawadi ni 250$, hilo kundi wanagawana shilingi ngapi sasa?

Wale mamia ya watu waliohudhuria walilipa kiingilio? -
 
upumbavu
eti hawa ndio viongozi tuliojichagulia
 
uyo muandaaji ana ajenda ya siri - kuwabrain wash hawa vijana halafu awatafutie soko mahali anapojua yeye. Mijitu mizima huvyoooooooooooooo inachekelea na mbunge bwabwa wao.
 
Back
Top Bottom