Hatari Mgodini North Mara - Chukua Hatua!

siku moja wahusika watawajibika kwa ufisadi wao, kwani SERIKALI imeshindwa kutawala mara ni vema wakaachwa huru wajitawale pengine wanaweza kuzuia wasiteswe na wazungu kwani hakuna serikali wala jeshi linalowajali

mungu waokoe watu wako,ipo siku watakuwa huru
 
Hivi hii serikali yetu imeenda likizo hawayaoni haya. Kwanini akina yona wasinyongwe? Ben angalia unavyowafanya wenzako. Je Ufalume wa mungu utauona kweli?

Ben yupi Kinyaia?!
Mla mla leo mla jana kala nini?
Sema hivi kikwete uko bize na nini haya si ndiyo ulikuwa unayakimbilia ikulu? mbona unajifanya huyaoni tena?
 
Hapo watu walisha kula 10% kwani wanawakumbuka tena walalahoi mtapiga kelele wee lakini hakuna hatua itakayo chukuliwa na CCM kama serikali itaendelea kupeta na kushinda kwa kushindo na ndo hawa hawa wanao umia watawachagua.
 
I will not stoop to your level of abuse. And JF is not a forum for abuse, open discussion and I aired my views.

Abuse what ?... if you post something on JF, you should always expect some kinda positive or negative reaction to your post. That's why they are called - forums.

Do not think you can use intimidation in such forum by being abusive language.

Lord have mercy ..... being abusive language? my goodness ... how do you get to be (an) abusive language? Lord help us!

Please use abuse to those you have no respect for but respect view points of others.

Com'n now ... enough with the whining .... Gjeeeeeze
 
Ndugu,
Hizo picha kweli zinatisha sana lakini I can assure you that, the effects is not from Tighte river.Mimi ningetegemea watu wa Nyangoto , matongo ndo wangeumia na siyo Weigita ambayo iko almost 15km kutoka Mgodini.How comes.
Labda wameathirika na zebaki (mercury) na siyo cyanides kama wanavyodai.Laziam tufike sehemu ukweli uchukue mkondo wake na siyo vinginevyo ndugu zanguni, haipendezi kuwa watu wa majungu.Nothmara karibia sehemu nyingi watu wanajihusisha na uchimbaji mdogomdogo na wanatumia mercury katika kusafisha dhahabu, ambapo zebaki imedhibitishwa na shilika la afya duniani kuwa siyo nzuri na ina athari kubwa sana.
Nawakilisha
 
Wachangiaji how sure are you kuwa hizi picha za watu hawa ni za North Mara...North Mara Ni kubwa so unapozungumzia habari hii lazima uwe unajua Geographia ya eneo hili.Ili uweze kuwa mchangiaji mzuri...sio kukurupuka na kusema unataka kwenda BBC au western media..what pity.Mbona vyombo vya tanzania vipo tu?

Ona sasa umeshidwa kupata scientific proof kuhusu hili!!!!Fanya Home work yako kabla hujachangia.
 
Ndugu,
Hizo picha kweli zinatisha sana lakini I can assure you that, the effects is not from Tighte river.Mimi ningetegemea watu wa Nyangoto , matongo ndo wangeumia na siyo Weigita ambayo iko almost 15km kutoka Mgodini.How comes.

Yaani umeanza na assurance ...ukiwa na hakika kabisa na unachokisema. Baada ya hapo unaanza speculations zako na huku ukimalizia na kuuliza swali - kuonyesha kuwa huna hakika na kila ulichosema mwanzoni wa paragraph yako. Goooshi

Labda wameathirika na zebaki (mercury) na siyo cyanides kama wanavyodai.

Ukishatumia neno Labda, inaonyesha kuwa huna hakika na unachosema. Kabla hata hujavuta pumzi kuonesha utupu wako kwenye issue nzima, unakimbilia kutoa hitimisho kuwa kilichoandikwa na wenzako ni majungu (?)

Laziam tufike sehemu ukweli uchukue mkondo wake na siyo vinginevyo ndugu zanguni, haipendezi kuwa watu wa majungu.

Na kisha unaendelea na speculations zako hapa chini ....

Nothmara karibia sehemu nyingi watu wanajihusisha na uchimbaji mdogomdogo na wanatumia mercury katika kusafisha dhahabu, ambapo zebaki imedhibitishwa na shilika la afya duniani kuwa siyo nzuri na ina athari kubwa sana.
Nawakilisha
 
Wachangiaji how sure are you kuwa hizi picha za watu hawa ni za North Mara...North Mara Ni kubwa so unapozungumzia habari hii lazima uwe unajua Geographia ya eneo hili.Ili uweze kuwa mchangiaji mzuri...sio kukurupuka na kusema unataka kwenda BBC au western media..what pity.Mbona vyombo vya tanzania vipo tu?

Hiyo ya kujua geographia ya eneo hili inazuia watu kuchangia hii thread? Wewe ambaye unalijua eneo hili (labda kwa ajira yako au chochote kile) unaweza kupinga au kukubali kilichowekwa hapo?

Ona sasa umeshidwa kupata scientific proof kuhusu hili!!!!Fanya Home work yako kabla hujachangia.

Scientific proof ni ipi unayohitaji hapo ... btw ... ninani huyo unayemuomba scientific proof?
 
Mwafrika is the smart one...let him speak. I know more than what meets the eye, do not just take in all that you read, take the courageous act of visiting the area. Fuatilia pia historia ya sehemu hiyo ya Nyamongo.

The truth always sets us free...But let it be with a capital T

Kwa nini una-assume wengine hawajalitembelea hilo eneo na kuifuatilia historia ya Nyamongo? Kwani hizi picha zimepigwa na mtu ambaye hakuwa kwenye eneo hilo na hizo zingine hapo chini, je?
 
Uharibifu wa mazingira Mara Kaskazini - Sehemu ya pili

Asalaam-aleikum Vijana wenzangu!

Unapoona picha za watu wanavyoathirika kutokana na uzembe, tamaa, uchoyo na ukatili wa binadamu wengine (angalia nakala iliyopita), hisia zinaweza kuchukua mkondo wake na ukabaki na fikra ambazo sio sahihi au zilizopotoka kwa namna moja au nyingine. Kwahiyo, baada ya kutulia nikaamua kuliangalia sakata la vitendo vya Barrick Gold Mine, na matokeo yake - uharibifu wa mazingira na athari zake kwa afya za watu - kwa utulivu.

Kama kijana wa Kitanzania, sitegemei au sitaki kuanzisha shari, lakini naamini kuwa wananchi wanastahili kujua kinachoendelea na kujibiwa maswali yao. Na hilo ni jukumu la uongozi wa Barrick GM, Mara na Serikali yetu. Kama kuna sehemu ambayo nimekosea kwenye uchambuzi au mtitiriko wa yanayojiri huko Mara, nitakubali kukosolewa na kuwekwa sawa (mimi sio mkemia wala mwanasheria)!

Tatizo la uchafuzi na uharibifu wa mazingira kwenye sehemu zinazozunguka mgodi wa dhahabu unaomilikiwa na Barrick GM lilianza mnamo Mei 2009. Na Wizara ya Nishati na Madini ilifanya uchunguzi.



Ripoti ya Wizara iliyotolewa tarehe 4 Juni, 2009 ilijadili uharibifu wa mazingira tu. Chanzo cha haya yote kilikuwa ni maji ya acid kutoka kwenye dampo la Barrick GM yaliyokuwa yanaingia kwenye mto Tighithe. Maji hayo yalikuwa yanaingia kwenye mto kupitia bwawa lililokuwa halina vizuizi. Cha kusikitisha na kushangaza sana ni kilichoandikwa kwenye ripoti:



Jamani, uchunguzi wa Wizara yetu, inayopaswa kuheshimika na kuaminiwa, ni kuangalia pH level tu? Yaani kwenda pale na litmus paper/solution au phenolphthalein? Kwenye karne hii? Hawajui kwamba labda kulikuwa na elements nyingine zinazoweza kuhatarisha maisha ya binadamu? Ni kama kumpima mgonjwa wa Ukimwi kwa kuangalia upele wake tu; na kumwambia akaoge maji ya chumvi.

Majadiliano kati ya 'wawakilishi' wetu na uongozi wa Barrick GM yalikuwa kama ifuatavyo:



Bila chembe ya aibu na kukataa jukumu lao, uongozi unatupia lawama uhalifu unaofanywa na wananchi. Na kuna Watanzania wanaodiriki kusema, "(Waathirika) wameyataka haya matatizo wenyewe." Tuwekane sawa kwanza: Jukumu la Barrick GM ni kuwaelimisha wananchi kuhusu mambo yote yanayoendelea na utupaji wa taka kutoka kwenye mgodi. Kama kuna takataka za sumu ilipaswa wataarifiwe na waelimishwe madhara yake. Pia, ulinzi wa kutosha unatakiwa uwepo sehemu kama hizi muda wote. Ukifuatilia mambo yanayoendelea kwenye sehemu kama hizi (mining sites na nuclear plants) kwenye nchi zao (Ulaya na Amerika), utaona jinsi mitaro ya takataka ilivyojengwa kwa zege zito ambalo kibaka hawezi hata kuchora juu yake. Doria za wanausalama ni masaa 24! Lakini kwasababu shughuli zinafanyika Tanzania...

Ripoti inamalizia kwa kusema:



Haya yalipaswa kutekelezwa kabla shughuli za uchimbaji haujaanza. Nina uhakika haya matatizo tunayoyaona na kuyasikia leo yasingetokea kama Wizara yetu na uongozi wa Barrick GM wangekuwa makini.

Cha kusikitisha zaidi kwenye matukio yote haya ni kitendo cha viongozi wetu kuwasahau kabisa watu wanaoishi kwenye vijiji vilivyoko jirani na mgodi - hasa watumiaji wa mto Tighithe. Ripoti ya Wizara haitaji wala kujadili athari zozote kwa afya za wananchi.

Athari za uchafuzi wa maji ya mto Tighithe kwa afya za watu zilianza kuonekana.Foundation HELP ya Mara ilianza zoezi la kupima afya za baadhi ya waathirika wenye dalili ambazo ni rahisi kuziona. Dalili za waathirika zinatofautiana; kuharisha, kutapika, kujikuna, maumivu ya tumbo, mapunye (madonda makubwa makubwa) na wengine wana dalili za magonjwa ya kansa ya ngozi. Makelele haya yalifika kwenye masikio ya viongozi wa Barrick GM, ambao walitupia lawama uwizi unaofanywa na wananchi (kumbuka, hili lingeweza kuepukwa).



Kwa mujibu wa Foundation HELP, eneo zima la Mara Kaskazini lipo katika mkondo ambao ni hatari. Ikumbukwe kuwa pamoja na kuwa kulikuwa na shughuli za wachimbaji wadogo hapo kabla, hakukuwahi kuwa na matukio kama hayo ambayo Barrick wanalaumu. Eneo hilo lina miamba inayotengeneza acid, na acid hii inayeyusha vitu vingine (heavy metals).

Binafsi nadhani hapa ndipo "siasa" inapoingia - kuweka facts pembeni na kujitahidi kuonesha umma kuwa hakuna kosa lililotendeka. Wakati huo huo afya za watu walioathirika zinazidi kudhoofika.

Dalili za waathirika zinaasharia madhara ya kula heavy metals. Watu wa Barrick wanadai eneo hilo lina heavy metals kupita kiasi cha kawaida. Je, kama wanalijua hilo, kwanini hawakuwa waangalifu zaidi kuhakikisha yanayotokea sasa hivi hayatokei??

Suala la fidia kwa waathirika? Barrick ni corporation kubwa na wana bima ya kufidia walioathirika kwenye hii "ajali". Mbona kimya mpaka leo? Au hawajawaona waathirika?

Serikali yetu nayo imekuwa bubu. Si ni wajibu wenu kututetea wananchi; au angalau kutujibu maswali yetu?

Kusema ukweli sakata zima linasikitisha sana na kutia hasira! Kwa wale waliokuwa na imani hata chembe na Serikali na viongozi wetu nadhani sakata hili litawafumbua macho. Na inashangaza pale vyombo vya habari vinapogoma kufanya kazi yao.

Posted by SN at 8:10 AM
Labels: Environment, Governance, Human Rights, Tanzania

3 comments:


joji99 said... Aise nashukuru kwa kutupa undani wa suala zima. Jitihada zenu zitazaa matunda.

Jambo muhimu kwangu ni waathirika wa hili sakata kupewa fidia, japokuwa haiwezi tosha kwani maisha yao yameathirika tayari (tazama picha ya yule mtoto). (For the record, in 2009 Barrick Gold global income was USD 8.1 Billion).

Pamoja na hilo ni kuwekwa zege katika dampo lao, lenye kudhibiti jambo lolote lile - natural or man made. Wananifurahisha wanaposema kuwa mtiririko ulisababishwa pia na mvua kali - wakati wanafanya planning ya site hawakufikiria potential hazards kutokana na mvua, tetemeko etc?

Umegusia jambo lingine muhimu, ukimya wa serikali. Ninauhakika hapa Barrick wamefanya kazi kubwa kuwanyamazisha watu kadhaa wa serikali, na hata waandishi wa habari kwani hii kitu ingetangazwa sana ingeleta mass panic na bad PR to the corporation. Ninafahamu kuna maofisa wa wizara walienda 'kuangalia hali', ila hii haitoshi.
March 20, 2010 12:39 AM
joji99 said... Picha zaidi:

http://jessieboylan.wordpress.com/2009/12/11/once-upon-a-water-source/

March 20, 2010 12:49 AM
SN said... Kusema ukweli sitegemei kama haya makelele yatazaa matunda ya aina yoyote ile. Kwanza, kwasababu wanaosoma hapa ni wachache mno na hawawajui watu wanaoathirika. Baada ya kuangalia picha hizi tutazima computers zetu na kwenda kula/kulala etc.

Pili, tunajua nguvu za corporations kama hizi.

Pia, hatuna ule moyo wa kujipanga na kutetea tunachoamini. Sio 'nature' yetu...Na sababu nyingine binafsi kwa kila mtu.

Lakini kuandika na kujadili mambo haya yatafutumbua macho ya wachache wenye muda wa kusoma au kufuatilia hili suala. Labda tutajifunza vitu viwili vitatu.

Mwisho kabisa, kwa wale wanaofuatilia hili kwa undani wataona kuwa kuna 'upenyo' wa mafanikio kwa mbaaaali; PR statements zinazotoka kwenye vikao vyao havina zile arguments zitakazokufanya unyamaze - kuna 'holes'. Na hapo ndipo wanasheria waliovalia njuga hili jambo watakapoweza kufanikiwa.
March 22, 2010 3:42 AM

Source: http://vijanafm.blogspot.com/2010/03/uharibifu-wa-mazingira-mara-kaskazini.html
 
Once Upon a Water Source
t.gif


Posted in Jessie Boylan, journalism by jessieboylan on December 11, 2009

contaminated stream leading from the NMGM to the Tigithe River

Once Upon a Water Source
30.11.09 – Musoma>Tanzania
She's tending to her shamba, her farm, the farm is still here, but…a little discoloured in places, some banana trees and pineapple plants have wilted, some are fruiting, but she can't eat them, or rather, she won't eat them.
Susanna Solomon, 55, is slim and shy mother of 12 from Nyangoto village, situated in the rural Tarime district on the eastern side of Lake Victoria. She has been farming here for a long time and continues to do so even though she can't use her produce.
"I was farming rice before," she said, "but I can't anymore because of the chemicals."

The area we're talking about was contaminated by a leakage from Barrick Gold's North Mara Mine in May this year.
In large sections the grass has completely died, and plants and some vegetation have off-coloured stalks. The stream running from the mine site (just 100 or so meters away) has a green moss covering it, there is no sign of insects, tadpoles or frogs, and some crystallised plants stick out of the water, as if frozen or covered by salt.
"I was advised not to eat the vegetables I'm growing," she said, "because you can be affected. I am still cultivating the land because otherwise I will lose it; so I am just here to hold the land.
"I am still waiting for compensation, but they haven't said anything about (it)."
Monitoring by Barrick at the time of the seepage detected pH levels of 4.8 in the Tigithe River, which is far too acidic for fish to live in, and far under Tanzanian drinking water standards.
According to the local community the contamination has caused surrounding crops and animals and fish to perish. Many villagers have also complained of health problems, such as skin irritations and stomach pains as a result of drinking and bathing in the water.
Although some 700-1000 heads of cattle have allegedly died since the incident occurred, no one was able to back the statement up with evidence. Barrick claim that the accident happened only as a result of villagers stealing the PVC lining from the leach ponds on several occasions, to use as roofing for houses and shops. However, in the areas I visited, the lining was not evident.
Walking along the path to the river are many people, mostly women and children going to collect water from the Tigithe; from upstream though.
"We have always collected water from here, we live nearby," says Esther Dustin, amongst 5 other women from the area. "Most people depend on the river for everything; for bathing, washing, drinking, and for cattle.
"We have been complaining about the water sine 2005, but this year was the worse. We have to use the water, because there is no other source, the Mara River is too far from here."

–
Many villagers have visited health centres in the region complaining of skin irritations due to bathing in the Tigithe River, the results of their tests have yet to materialise.
Chacha Ochibhota is young, he's 21 years old, he has a skin pigmentation covering his face, his eyes are bloodshot, he speaks quietly and moves slowly. His medical examination states that on the 1st of July, he claimed to ‘have used acidic water, contaminated by the mining project – sustaining burns on the face…' Referring him to the Tarime District Hospital for further investigations.
"I started feeling the problems in May this year," he said. "I have a farm near the Tigithe River. When it was hot and sweaty I would bath in the water and wash my face and body to cool down.
"It felt different, when I tasted the water, it didn't taste normal, it was a salty taste, and it was the feeling of rubbing salt in wounds…
"I was referred to the district hospital, but because I had no money, I didn't go.
"For me," said Chacha, "I need only treatment, so I can do work. Now I can only lie in bed, or do soft work…"


–
The community state that Barrick are not compensating people fairly, if at all – and Barrick state that they are compensating people "handsomely".
Gerhard Hermann, the Production manager for NMGM Ltd. says "We compensate them for their land, for crops on their land and also for any structures.
"We pay as if their entire property was planted with bananas (even if it's not), we call that the ‘full banana concept'."
No sick or displaced person appears to be taking direct action against Barrick.
"No one has laid any charges against us as far as I'm aware," said Hermann. "(Because)…they have to have a case, and the fact that they're not doing anything, makes you question if they really have a case or not."
Barrick were not able to replace the lining completely until August this year; due to manufacturer delays, meaning that between May and August acidic liquid was soaking into the earth and leaking out into the environment unstopped.
"This is where we want to dig a trench, so if we ever have breach of the liners again we can pick up the seepage in a nice deep liner here and then pump it back into the ponds," said Hermann

contaminated shambas

Currently, the water flowing from directly below the containment pond is at a pH level of about 4-4.5. Tanzanian drinking water standards are between 6.5 and 7.5.
According to Barrick, 10 meters downstream from where polluted water enters the river, the pH is back up to normal because of dilution.
Barrick claim to be operating on a zero-discharge policy, meaning that no water from the waste or leach ponds will enter into this environment. This process was explained to me while standing next to the leach pond looking up at the massive wall of the waste dump containing Potentially Acid Forming (PAF) material (sulphuric acid).
"Basically what it is, is an impervious layer, right at the bottom of high dense polyethylene plastic, 1mm thick, dense plastic, which the acid cannot penetrate through, we have a drainage system on top of that, and on top of that a waste dump.
"So any water percolating through the waste dump can only report to one place and that's the pond, when it hits that liner, it can't go anywhere else, the only place water from there can go from there is into the drainage pipe, and the only place those drainage pipes go to is a lined leach pond…once it reaches the leach-pond it is also completely contained."
Unless of course something breaches it, which is what is said to have happened.

destroyed PVC lining for the ponds

-
"They are trying to put the blame on the community," said Chacha Wambura, the executive director of Foundation HELP, an NGO based 100 km away in the town of Musoma. Wambura has been working to expose environmental issues around the NMGM and running awareness-raising and capacity building campaigns for the national community.
"People are not cooperating because they want justice to be done.
"The community can be aggressive, but the company (and the government) are not trying to alleviate problems.
"The government are backing Barrick 100 percent, without knowing it they are fueling their own graves; because this water flows into the Mara River, and discharges into Lake Victoria, and so many animals and humans will be affected by that."

Mara River


Possibly related posts: (automatically generated)

Tagged with: africa, barrick gold, corruption, greed, Jessie Boylan, journalism, north mara, photography, poverty, tanzania
3 comments

« Once Upon a Gold Mine
Running Away From Home; Mara Girls Escaping FGM »

3 Responses


Subscribe to comments with RSS.
  1. da89127af082a9c13873e7a1aecf873f
    Evans Rubara said, on January 18, 2010 at 9:54 am </STRONG>
    This is soo devastating yet Barrick wants the world to believe that they are good in terms of CSR?
    Reply
  2. fb88614323391d273f159007908ce4e5
    Anadell said, on February 24, 2010 at 3:29 am </STRONG>
    this awful&#8230; lets to the Barrick, Barrick is now in Dominican Republic trying to do disaster and we can allow it.
    Reply
  3. 3e3e467944983eb866234e6c9d80fd2d
    Warchild said, on March 6, 2010 at 1:06 pm </STRONG>
    I have first hand photographs of a diesel fuel supply station at the Gokon Workshops at North Mara that was demolished and the area never properly rehabilitated before a new concrete structure was built over it. This was done sas per the General Manager of North Mara Gold Mine's instruction. The said area is heavily polluted with hydrocarbons which are leaching into the water sources.
    How can i sen you these photographs and other information on the environmental cover ups? The site has a very competent environmental manager and team who are deidated to their work, but actions are simply over-ridden by the general manager
    Please advise an e-mail address where I can send the relevant information to.
    Reply
Source: http://jessieboylan.wordpress.com/2009/12/11/once-upon-a-water-source/
 
P1000379.JPG


Sometime last year there were reports of people and animals being affected by the toxic materials released by the North Mara Mining company into a river that provides livelihood to the people around this mine.

I remember this matter being raised in our parliament. I remember investigation teams were send to this area to assess the impact of these spills. The sad thing is that, up to now, no formal report has been issued and this mining company has not been sanction and I do not think North Mara Mining company will ever be made to account for this atrocious act which goes against all fibres of good business practices and human rights.

IMG_0105.JPG


The effects of these chemical wastes on people are real. Unfortunately our own Government is mum on this matter. The media, human rights and environmental advocacy Non-Governmental Organisations are also quite too.

IMG_0109.JPG


These people have done nothing to deserve this kind of treatment. Whether poor or not, they are supposed to be treated with dignity.

P1020718.JPG


In this unfortunate incident, the Government has failed to protect its own people, it has sided with investors at the expense of its own people.
 
I think it is high time to involve the strong media coverage for the issue in North Mara. Wapi Wale waandishi wa habari za kiudadisi wa BBC na CNN? The moment hizi picha zitaonyeshwa kwenye BBC, CNN, Sky News, Aljazeera, I bet the government will wake up and do something. These types of photographs should also be shown to people in Tanzania all around to know what is their govt doing for its people.
Issue za rushwa za traffic barabarani ni habari lakini haishindi habari hii!!!!
This bad and nothing but bad!!!! Teweli Teweli lete uongo mwingine!
 
Blood gold. I wish watu wangegoma kuvaa hizi gold za bongo. Juzi tu wametoa watu kafara huko bulynkulu wakijidai ni ajali, wanadhani hatujui ndo zao kila baada ya muda wanalipua miamba na watu wakiwa ndani ili kutoa kafara. i hate everything about these mines, to us its a curse, i wish we didnt have them
 
Hivi Wizara ya afya na kitengo cha mazingira kiko wapi, mimi naujua kwenye ofisi ya makamu wa raisi kuna waziri wa mazingira, yeye anafanya kazi gani, hii incident si ni sehemu ya kufanya research, guys wake up, au siasa zimetawala hata kwenye kitu kinachoonekana, make the reality is there, so mnasubiri nini, nendeni mfanye utafiti and then hizo report mbona mnapenda kuzifungia kwenye kabati hata kabla ya kutatua tatizo lililowapeleka kwenye huo utafiti, what are you afraid of? Nchi ni ya kwako halafu unamwogopa mgeni, it is shame!!! President wake up and tuma watu wakafanye utafiti na report itolewe kwenye media, watu wajue what is the main source of all those atrocities, people are soon dying, you here that.
 
Blood gold. I wish watu wangegoma kuvaa hizi gold za bongo. Juzi tu wametoa watu kafara huko bulynkulu wakijidai ni ajali, wanadhani hatujui ndo zao kila baada ya muda wanalipua miamba na watu wakiwa ndani ili kutoa kafara. i hate everything about these mines, to us its a curse, i wish we didnt have them

FATALITIES: Three dead in fall of ground at Bulyanhulu

<HR class=space>TANZANIA - African Barrick Gold (ABG) reported the deaths of three workers at its Bulyanhulu underground gold mine on March 17, 2010. The men died after the mine suffered a rock fall incident the previous day.
ABG said mining was suspended and its mine rescue team was immediately dispatched after the rock fall. The mine remained closed on March 18 as a sign of respect to the dead, Dickson Kadelema, Vedastus Wilfred Tandise and Joel M. Nickolas. Mining will then resume except in the area of the rock fall until the incident has been investigated and any appropriate action taken.
"Words can not express the deep sorrow we feel for the tragic loss of life of our colleagues. Our thoughts and prayers are with their families and friends and we pay tribute to their memories," stated Dave Anthony, COO of ABG.
A team of senior investigators from Barrick Gold has been dispatched to undertake a full and thorough investigation of the accident. ABG is committed to the safety of each of its employees and will continue to make safety the top priority at its mines. Barrick had not suffered any employee safety-related fatalities since 2006 in Tanzania. Bulyanhulu mine earned a National Award for the best overall Occupational Health and Safety system from the Tanzania Occupational Safety and Health Authority in 2009.
 
I am attaching Pullution report ya North Mara just for your reference...
 

Attachments

  • North Mara Pollution Report.pdf
    1.1 MB · Views: 48
Acheni uzushi, hayo ni mazadhara yanayotokana na matumizi ya mercury. hao ni wachimbaji wadogowdogo ambao hurecover gold kwa kutumia mercuri.

ACHENI UZUSHI USIOKUA NA TIJA.

Unajua wewe ungekuwa unajulikana sura yako halisi nahisi ungepigwa mawe hadi ufe. Hata hivyo hili ni jukwaa la watu wanaofikiri na kama wewe umeona kwamba hao waliopo pichani ni wachimbaji wadogo ni sawa kwa upeo wako. Lakini mimi mwenyewe sioni hicho unachokisema cha uzushi sana sana ni kutetea mauaji huku wengine wakiteketea. Yawezekana na wewe ni mmojawapo lakini hujijui. Umeshateketezwa kifikra na mafisadi.
 
Back
Top Bottom