MpigaFilimbi
JF-Expert Member
- Apr 30, 2008
- 1,169
- 182
kama hali ni hii ni bora kufunga migodi yote, na hao watu walipe fidia kwa waathirika wote. Bahati mbaya hii inaweza kutokea kwenye nchi kama Tanzania tu. This is disgusting.
Sorry i thought wewe ndio chacha mwenyewe. Mkuu i asked if there are scientific Evidences kwasababu we in order to get support from media in western countries we need to these evidence. Hatuwezi tukaapproach for instance BBC na kuwapa info with no evidence.. kuna mashirika mengi tu ambayo will be so interested with this case if we represent this with strong evidence, this includes ngo environmental and sustainable developments groups. SCR has to be based on honest and if barick does follow what they say on their SCR report that is absolute social unaccepted in western communities.

unapeleka kesi ya ngedere kwa hakimu nyani??????????mh,mh,mh hizo picha ni zinatisha kama hali iko hivyo kwa kweli huo mgodi umulikwe
naomba NEMC,LEAT,JET,na wadau wengine walifuatilie suala hilo kwa ukaribu
it is terrible!!!!!!!!!!!
angalia hapa http://www.business-humanrights.org/Search/SearchResults?SearchableText=north+mara&x=0&y=0 kuna kila taarifa zinazoweza kusaidia.
Pia ili kupata undani wa majibu ya serikali Mjengoni angalia katika http://parliament.go.tz/POLIS/PAMS/Docs/HS-18-12-2010.pdf ukurasa wa 33 hadi 62
Chacha
Serikali ya CCM ni lini itaanza kujali wananchi wake?
Hivi unaweza kulinganisha Binadamu na dhahabu kama wanavyo fanya hawa CCM?
Je, tunayo taarifa kamili kutoka kwa mgodi kuhusu swala hili? There are always 2 sides of a story.
Tukumbuke Mkoa wa Mara na hasa mazingira ya mgodi huo ni tofauti na huwezi kuchukua things at face value.
Let inquinsitive Journalism take its course.
Je, haya maji yenye sumu yamepimwa na mkemia mkuu wa serekali na akasema rasmi kwamba ndio imesababisha hali hii?
Taarifa zilizo za uhakika ni kwamba wanajamii wa mazingira ya pale wanahusika kwenye mambo ya wizi na hata kuiba carpet za tailings dam....surely katika hali hiyo, sio sisi wenyewe wa kulaumiwa?
Shehe Yahya kishaonya kuwa watakaompinga Kikwete watakumbana na kifo. Sasa unategemea chochote toka kwa serikali inayotegemea wapiga ramli na wachawi kufanya maamuzi mkuu Max?
Je, tunayo taarifa kamili kutoka kwa mgodi kuhusu swala hili? There are always 2 sides of a story.
Hii sio kweli, sio lazima kuwe na two sides of every story ...kuna mambo mengine ni fact na hayana haja ya kuwa na side nyingine ya story. Umeanza kimakosa mkuu theodora.
Mkoa wa mara na haya mazingira ni tofauti kwa vipi? mbona husemi? unasema kuwa tukumbuke (ukijumuisha wana jamvi) bila kueleza unachotaka kikumbukwe hapa.
ha ha ha ha ... inquisitive journalism tena?
Unaongea serikali ipi? hii iliyouza mgodi wa buzwagi kwa bei ya karanga?
Acha uongo hapa, taarifa zilizo na uhakika upi? mbona unajichanganya?
Mara useme kuwa unahitaji "inquisitive journalism" whatever the fcuk that means na mara unauliza kama mkemia wa serikali kahusika? .... kisha unajifunga kwa kusema kuwa una taarifa za hakika ... wtf?
Hata kama ikiwa ni kweli kuwa wananchi wameiba hizo carpet? je wenye mgodi wanachukua muda gani kuweka zingine?
- je ingekuwa wananchi wameiba kifaa cha kuchimbia dhahabu, wenye mgodi wangekaa tu wasifanye chochote kwa vile wananchi wameiba kifaa chao? what a f**c*ng shallow argument?
Je, tunayo taarifa kamili kutoka kwa mgodi kuhusu swala hili? There are always 2 sides of a story. Tukumbuke Mkoa wa Mara na hasa mazingira ya mgodi huo ni tofauti na huwezi kuchukua things at face value. Let inquinsitive Journalism take its course. Je, haya maji yenye sumu yamepimwa na mkemia mkuu wa serekali na akasema rasmi kwamba ndio imesababisha hali hii? Taarifa zilizo za uhakika ni kwamba wanajamii wa mazingira ya pale wanahusika kwenye mambo ya wizi na hata kuiba carpet za tailings dam....surely katika hali hiyo, sio sisi wenyewe wa kulaumiwa?
Theodora ulitaka the other side of the story sasa umeipata mbona huijadili au wewe ndio TT mwenyewe?