Hatari kwa mawakala wote wa Vodacom M-pesa!-MWIZI WA KUTUPWA

Matope

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
892
679
Jamaa anawaibia mawakala wa M-pesa kwa kujifanya anafanya kazi vodacom kumbe tapeli anawahadaa wanampa simu ya wakala na kukiba mapesa kaisha iba zaidi ya milioni kumi huyu mwarabu kokooo jizi kuba




mwizi.jpg
 
anamwambia wakala ampe simu ya kufanyia kazi harafu anasarve kwenye phone book namba yake ya simu M-pesa kisha anampa wakala anajizungusha kidogo anarudi anamfowadia wakala sms ya kutoa pesa wakati akiwa amenoti ana sh ngapi kwa hy kama wakala ana 50000 yy anaengeza 400000 harafu mwisho float ya wakala anaandika ni tsh 450000 hapo wakala anampa pesa baadae akicheki salio empty!kaibia wengi sana anatafutwa alisahau kitambulisho chake wakati anakimbizwa ndo kukipiga picha!
 
Anakuja kwenye outlet (wakala) nakujifanya mfanyakazi wa Vodacom then anaomba simu yako ya mpesa (till) anajifanya anakagua kitu then anasave namba yake kama MPESA half anaondoka bady akirudi anajifanya akirudi anatoa hela anaedit ile msg ya mpesa ya kutoa then anatuma kwenye simu yako aliyosave jina lake kama MPESA
 
alikwenda kwa wakala Ilala pale sokoni wakala akashtuka akanza kupiga kelele wakati anakimbia akaangusha kitambulisho chake feki ndo wadau tukakipata hata hvy vodacom hakuna cheo kama hicho!
 
alikwenda kwa wakala Ilala pale sokoni wakala akashtuka akanza kupiga kelele wakati anakimbia akaangusha kitambulisho chake feki ndo wadau tukakipata hata hvy vodacom hakuna cheo kama hicho!
<br />
<br />
jaman hizo ndo ajira alizo ahid jk nyie mmemwitia mwizi. Kweli akili zakuambiwa unachanganya na zako unazama mtaan unakuwa TP.
 
Back
Top Bottom