Hatari Kubwa

Mkuu Kithuku
Nadhani nashawishika na post yako kuhusu uwezekano wa mimba. Na kwa kuwa nyendo hazikuwa ktk ukweli nilishafikia kuhisi hivyo na hatua zimeshachukuliwa.
Concern yangu ni kuwa inaonesha wengi wa wabongo hatuna tabia ya kuchunguza afya zetu ambapo tunaishi ktk mazingira hatarishi kushambuliwa na magonjwa.....
Nakushukuru tena Kithuku na ninakuthibitishia huwa sifanyagi faulo kwani najiheshimu na ninayaheshimu majukumu...

Huo ndio uwajibikaji ndugu yangu. Ni vizuri sana kuwa makini na afya zetu na za watu walioko chini ya himaya/uangalizi wetu. Mazingira tunayoishi yana hatari nyingi kwetu na kwa jamii zetu. Hatari ziko za kibayolojia (utapiamlo, sumu uharibifu wa mazingira,vijidudu vya magonjwa nk), ziko physical risks (ajali mbalimbali kama moto, umeme, magari), na hatari kwenye social environment (kama mijibaba inayoweza kuzengea binti zetu, uharibifu wa maadili nk). Mizigo yote hii tunatupiwa wazazi tukabiliane nayo katika kulinda uzao wetu na kuhakikisha afya zao. Kazi ngumu hii!

Nazidi kukutakia heri katika juhudi za kujikinga na majanga hayo
 
Almasieh Kithuku,
Ningependa heri hii ingelienda wizara ya Afya endapo wangeonesha kujali kuhusu vitendanishi vya kupimia UKIMWI. Ila nashukuru kwa kunipongeza ingawa ninasikitika kwa jinsi ambavyo mabinti wanaokua sasa hawajali wala kujua hatari zilizopo mbele yao.

Kwa taarifa ni kwamba mke wa mwanabodi mwenzetu amaye alifanyiwa upasuaji kuondoa uvimbe ktk kizazi anaendelea vyema na ameruhusiwa kutoka hospito. Nilimpongeza mwanabodi mwenzetu kwa kuamua kuipeleka maabara kwa uchunguzi sehemu ya ule uvimbe. Ninapata mwangaza hapa endapo uchunguzi wa kina utafanyika basi inawezekana majibu sahihi yakaanza kuchanua kuhusu uvimbe ktk matumbo ya uzazi ya mama zetu.
 
Mkuu mchongoma
nilishaona vijana wasioeleweka wanaanza kunizoea mtaani nikaamua leo kumrejesha kwao kwani hali ilishaanza kujionesha. Halafu ktk maadili yangu ni kuwa kazi na mapenzi haviendi pamoja

pole sana, kwahiyo unabidi uanze upya usaili kwa maid mpya? anyway, back kwa mada uloanzisha,...pamoja na mlipuko mkubwa wa maradhi ya kina mama 'wadogo wadogo' kuhusiana na hizo fibroids... umegundua pia wanaume 'vijana' wengi siku hizi wakitanzania (achilia UKIMWI) wanapoteza maisha kwa magonjwa ya BP/Stroke na kisukari?

Kaazi kweli kweli.
 
Mkuu Msanii, hii ni off post lakini si umeoan juzi juzi hapa kwa kumbukumbu zangu, sasa maid wa nini mapema ivi au umehspata mtoto tukupe hongera?
 
Juzi
I mean last saturday kuna dada wa darasamet wangu amefanyiwa upasuaji mhimbili wa fibroids, ametolewa vivimbe 14 ktk tumbo lake. Ukubwa wa vivimbe hivyo ni ukubwa wa yai la bata.
Hebufikiria mtu anaishi na uvimbe 14 ktk mwili wake, hii ni hatari kubwa.
Najiuliza kuwa hili tatizo la fibroids linakua au linapungua??? wenye data naomba watutupie hapa ili tufahamu zaidi.
 
Back
Top Bottom