Hatari!hatari!hatari kubwa!

maadamu alisema si wote basi mimi nitaoa mwenye masters of education ila si wa sociology ambao huwa ma feminist na wanajua sana ishu za gender

Hilo neno feminist linatumiwa vibaya, feminist wa kweli anaelewa umuhimu wa mwanamme. Na mwanamme anayejua dunia ya leo inavyoenda kuwa feminist (yeye mwanamme) si ajabu.

Watu wasi confuse wanawake walio bitter na wanaume kuwa ndio feminist. Hicho ni kitu tofauti.
 
Kiranga wala usitoe povu, post namba wani imeanza na red, yawezekana aliyeleta thread alitaka ku-delete post yake akashindwa au aliweza but someone (mwenye access) alirudisha, for wathever damn reasons know only to evil minded muppets

sidhani kama kuna ukweli wala sidhani kama kamwela ana umri hata wa kujua anayoongelea kuhusu relationship

tabia ya mtu, ipo tu, anaweza asisome na ukakoma vilevile (tuna zaidi ya threads mia moja humu zinazoonyesha huge range ya personalities na mahusiano
 
kuna wasomi ambao si wajeuri na kuna wasiosoma ambao ni jeuri mie sina shule na ni mjeuri,nina mpango wa kujiendeleza na shule ya jioni nahisi nikimaliza nitakuwa mjeuri zaidi,nahisi shule inaongeza ujeuri kama kachumbari kny pilau lol,
 
Mie sina elimu ya chuo wala fomu six
lakini mme wangu hulalamika kwamba ni mbishi sana
mie ni mama wa nyumbani
sina mtu wa kunisaidia na nina watoto 3
akirudi anataka nimpokee
na kila kitu kiwe sawa hasa usiku
kanifungulia kiduka cha makorokocho mbele ya nyumbani kwetu
na muuzaji ni mie

analalamika mie mbishi sana sababu huwa nakataa kumpokea.

nyumba ndogo yangu imetiki jana na kuniondoa hofu kuwa haijalenga hizi sikukuu,
utanyooka
 
kuna wasomi ambao si wajeuri na kuna wasiosoma ambao ni jeuri mie sina shule na ni mjeuri,nina mpango wa kujiendeleza na shule ya jioni nahisi nikimaliza nitakuwa mjeuri zaidi,nahisi shule inaongeza ujeuri kama kachumbari kny pilau lol,

na inaonekana wewe huna ujeuri wowote tena wenye majina kama yako huwa wazembe sana kwa midume yao wewe malizia kaelimu kako pale taasisi ya elimu ya watu wazimu kwa njia ya posta..

hongera kwa kujiendeleza..
 
...Men of quality are always not threatened by educated Women.


asanta kwa burudan maana alishaniboa yan na research zake za uchochoron lol.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom