Hatari Gari hii Zanzibar ni wapiganaji (nissan patrol jeupe lenye tintedi)

Wakuu kuna habari zenye ukweli, sasa Uamsho wamekuja na style ya Mafia Zanzibar ya kuwamaliza wale wote maadui wa Zanzibar na UIslamu, kwa hiyo lipo kundi la watu wanaranda na gari jeupe lenye tinted full, wana silaha ndani ya gari, gari halina namba, wakifika wanachapa ile mbaya na kuingia mitini.

Chadema mtaishi kwa hofu na umbeya na uzabzabina mpaka lini? oo mara makontena ya silaha yamekamatwa huko tunduru!! ooo sijui nini!!!

Kazi ya umbea inajulikana ni sifa za kike kike!! na hiyo ndiyo sifa yenu wana cdm!!!
haleluya!!!!

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom