Hataki nitazame simu yake

ahahah Sio Mwaminifu....kuna jambo anamficha mshikaji..utamwamini vpi mtu ambaye hajiamin mwenyewe!!

Kuna ambacho hataki ukione kwenye simu yake,heshimu hilo.....:suspicious::suspicious:

If you do not trust her and she is not helping you to trust her ,then let her go.......:car:
 
Kuna msichana nipo nae kwa uhusiano for about 4 years now, mi nafanya kazi flani hapa Dar na yeye yupo chuo flani Dodoma. Tulianza uhusiaano 2007 ye alikuwa Form 4 na mi nilikuwa Chuo. Ila shida napata naye siku zote ni kuwa yeye hupenda sana kuchunguza simu yangu ataanza maswali kuhusu contacts zote za majina ya kike asoyajua, message zote ila yeye ananikatalia yake. Alivyoona namsumbua kaamua kuweka SECURITY CODE. Kuna nini hapo?

Huyo bi.shostito ana bahati sana, anakuchzesha rigwaride hivi hivi na wewe unamwangalia.
Naomba unikabidhi wiki moja tu, atarudisha majibu kwako faster.

Simu ununue mwenyewe halafu huruhusiwi kuigusa? hata kama hujanunua wewe as long ni gf wako, simu yake ni halali yako, kama hawezi hilo sharti uaamua kusuka ama kunyoa.
 
Kuna msichana nipo nae kwa uhusiano for about 4 years now, mi nafanya kazi flani hapa Dar na yeye yupo chuo flani Dodoma. Tulianza uhusiaano 2007 ye alikuwa Form 4 na mi nilikuwa Chuo. Ila shida napata naye siku zote ni kuwa yeye hupenda sana kuchunguza simu yangu ataanza maswali kuhusu contacts zote za majina ya kike asoyajua, message zote ila yeye ananikatalia yake. Alivyoona namsumbua kaamua kuweka SECURITY CODE. Kuna nini hapo?

C Mwaminifu. Ushauri wangu, achana naye!!
 
umeshaambiwa kuwa wewe ni kondakta na hilo basi lina wenyewe. In short. umeshikilia pembe kuna mwenyewe anakamua
 
umeshaambiwa kuwa wewe ni kondakta na hilo basi lina wenyewe. In short. umeshikilia pembe kuna mwenyewe anakamua

Bila shaka, amekata tamaa ya kukaa na yeye bila kuona mipango ya ndoa. Sasa ana mume mtarajiwa na siyo huyu, anajaribu kum-keep mshikaji psychologically alive ili ashtuke mapema hadi atakapopewa kadi ya mwaliko-Daz Nundaz style!!!. Atimuke aachane naye haraka.
 
Well said. Ukioa au kuolewa wewe si private tena. Chako changu changu chako. Ukiona passwword kwenye simu tu jua jamaa au mamaa anacheat period. Hata kama inaweza kuja simu ya wanaojikomba, si unamweleza mwenzio na kama mmeshibana ataelewa tu if you are telling the truth or not. If you value your privacy soo much dont I repeat don't get married or get involved in any (permanent)love relationship. Wewe tafuta wa chap chap tu. Na kama partner wako hajali unaongea na nani kwa wakati gani, hujue hupendwi ndugu. Ukipenda WIVU ni must.
Hakufai huyo, hakuna kitu kinachovunja ndoa siku hizi kama simu, maana inafikia mtu kila anapoenda (Chooni, bafuni ,nk) yupo na simu mkononi na akihisahahu tu mwenzie keshaidaka fast na kuanza kuipekuwa
Kwa mapenzi ya kweli na ya dhati amabyo hayana cheating hakuna haja ya kuzuia simu yako kwa mwenzio, unapoizuia tu mtu anakuja na maswali mengi mno, kuzuia simu ni kukosa uaminifu kwa mwenzio

kiukweli mnatakiwa muwe free kiasi hata simu ikilia na mwenenayo hayupo basi unaweza kupokea na kujibu hiyo simu na hata msg unaweza kuzijibu,
 
Hiyo sheria inaishia getini mwa nyumba yangu. My house "home" has no privacy. Waambie hao ma co-workers kuhusu sheria mimi kama wife simu napekua nitakavyo na unipeleki mahakama yoyote. Utasikia kuna simu nyingine zinatoka kwa bosi. Bosi alikununulia simu? Ata kama alinunua unalipwa kufanya kazi nyumbani. Nikijisikia kupokea napokea as long as masaa ya kazi yameisha.

Simu ya mtu ni siri. Kisheria hutakiwi kupekuwa simu ya mtu bila yeye mwenyewe kukuruhusu
 
Kuna msichana nipo nae kwa uhusiano for about 4 years now, mi nafanya kazi flani hapa Dar na yeye yupo chuo flani Dodoma. Tulianza uhusiaano 2007 ye alikuwa Form 4 na mi nilikuwa Chuo. Ila shida napata naye siku zote ni kuwa yeye hupenda sana kuchunguza simu yangu ataanza maswali kuhusu contacts zote za majina ya kike asoyajua, message zote ila yeye ananikatalia yake. Alivyoona namsumbua kaamua kuweka SECURITY CODE. Kuna nini hapo?
mkuu hapo kuna kamchezo unachezewa, though i cant be very certain, me nimewahi pia kumpenda mdada na ugomvi ulikuwa ni simu, alikua tukikutana kabla ya salamu anaomba simu kwanza, ata peruzi weeee atauliza weee mpaka roho yake itakate......sasa issue nichukue simu yake ni balaa, aliwahi kunikimbiza mtaaa mzima kisa nimechukua simu yake, saa nyingine nikikataa kumpa mpaka ananing'ata mkono niachie, nikaona isiwe taabu. nikafanya uchunguzi na all my doubts were true, nika break up nae, kwisha habari
Kaenda huko alikoenda vidume wakamegamegaaa , sasa hv kachooooka, ananisumbua daily kwenye simu
 
ameshawahi kukuta namba za simu za wasichana watatu ikiwepo ya binamu yangu, wote hao walikula matusi. Na huwa akikuta namba kama ana mashaka nayo basi atakimbia na simu kwao mpaka baada ya siku 1 au mbili ndo anairudisha.
 
acha kuchunguza simu ya mwenzako, nadhani ulichokuwa unakitafuta umekipata uchunguzi na wivu wako umeishia kuwekewa password sasa roho inakuuma unaona unaibiwa. Achana na simu za wanawake na pia mwambie mwenzako akae na simu yake aachane na yako. Kila siku simu zinaharibu mahusiano na nyie ni victims wa hali hiyo.

Halafu mmekaa ktk mahusiano miaka minne na mtu bila ya kuanza kufanya taratibu za uchumba na kuoa? ndio maana msichana amekuona huna maana zaidi ya kuona unampotezea muda na kwa taarifa yako wenzio wanakuchapia ndio maana umewekewa password ili usione kinachoendelea na umetafuta mwenyewe kuyajua na sasa yamekuzidia unakuja huku tukushauri.

Kingine mwanaume unatakiwa kuwa na msimamo na pia kama unahisi kuna tatizo wasiliana na mwenzio na umuulize kwa nn anaweka password kwenye simu yake, nadhani kama anakupenda na kukujali ataitoa hiyo password ila ukiona haijatolewa ujuwe hakupendi na hakuthamini

Mwisho videmu vya CBE Dodoma ni vicheche mno kama ndio yuko hapo kapime ngoma haraka kisha piga chini

Simu haiwezi kuharibu mahusiano hata kidogo. Kinachotokea ni kwamba, uozo na uovu unaotendeka au unaopangwa kutendeka ni vyepesi sana kugundulika katika kipindi hiki cha TEKNOHAMA kuliko enzi hizo ambapo hakukuwepo simu n.k. Hapo ndipo ujue kwamba yanayotokea sasa si mapya, hata zamani yalikuwa yanatokea.
 
ameshawahi kukuta namba za simu za wasichana watatu ikiwepo ya binamu yangu, wote hao walikula matusi. Na huwa akikuta namba kama ana mashaka nayo basi atakimbia na simu kwao mpaka baada ya siku 1 au mbili ndo anairudisha.

ur not in a health relationship right now ur blinded unachofikiria wewe she is right person to marry but shez not??? kwa nini awe anuwezo wa kulala na simu yako kwao for some days yeye ya kwake kaweka password??? thats stupid kuna siku atawapigia na kutakuna staff wenzio kazini kwa kutojiamini kwake,ila ukweli ni kuwa wewe ni husband material kwake ndio maana anakung'ang'ania ila kuwa wenzio wanakusaidia woke up man!!!!!
 
wewe ni mwanaume mwenzangu so wewe ni ndugu yangu kama unayosema ni kweli huna haja ya kusubiri hadi ufumanie au ukute mume mwenzio anaweka mashine knye shimo yako! kimbia sana pitia angaza chek kama upo ok mshukuru Mungu sana huyo anataka akutumie peke yake ila yeye atumiwe na wengi NDUGU YANGU USIPOTEZE MUDA KIMBIA KIMBIA TAFUTA WAKO HUYO HAKUFAI
 
wewe ni mwanaume mwenzangu so wewe ni ndugu yangu kama unayosema ni kweli huna haja ya kusubiri hadi ufumanie au ukute mume mwenzio anaweka mashine knye shimo yako! Kimbia sana pitia angaza chek kama upo ok mshukuru mungu sana huyo anataka akutumie peke yake ila yeye atumiwe na wengi ndugu yangu usipoteze muda kimbia kimbia tafuta wako huyo hakufai
the truth is we have never done it...
 
weka yakwako "Security Code to"halafu hapo ngoma dro...
umenikumbusha kuna mdada alienda kwa mpnz wake kufika akazima simu, baada ya muda akawa anatafuta simu ya mwenzie achunguze chunguze akakuta na yenyewe imezimwa. Ngoma droo hiyo.
 
Umri wenu unaruhusu kufanyiana ghilba. Wote tumepita huko! Mna bahati vijana wa enzi ya Vyama Vingi kuna hizi simu. Enzi zetu tulikuwa tunapelekana hivohivo kama mang'ombe! Ilikuwa ngumu kubaini labda umfume na barua. Fanyeni muyamalize kwa mazungumzo hasa mtilie mkazo ktk kupeana msimamo ili mjue mbivu na mbichi nyote mapema. Inawezekana!
 
Back
Top Bottom