Hataki nitazame simu yake

Hakufai huyo, hakuna kitu kinachovunja ndoa siku hizi kama simu, maana inafikia mtu kila anapoenda (Chooni, bafuni ,nk) yupo na simu mkononi na akihisahahu tu mwenzie keshaidaka fast na kuanza kuipekuwa
Kwa mapenzi ya kweli na ya dhati amabyo hayana cheating hakuna haja ya kuzuia simu yako kwa mwenzio, unapoizuia tu mtu anakuja na maswali mengi mno, kuzuia simu ni kukosa uaminifu kwa mwenzio

kiukweli mnatakiwa muwe free kiasi hata simu ikilia na mwenenayo hayupo basi unaweza kupokea na kujibu hiyo simu na hata msg unaweza kuzijibu,
 
Namtamani mtu kama huyu, ambaye nikishika simu yake sipata presha,
Na yeye akishika simu yangu hapati presha.

Yani hakuna madudu yakusababisha hizo presha.
Kama tu simu ni presha kwangu, basi na yeye mwenyewe lazima atakuwa presha tu.

Huyu ni LD lakini, Kwa hiyo bwana Seto hebu huyo mdada mwangalie mara mbilimbili kabla ya kufanya maamuzi yoyote hapo.

RETHINK ABOUT HER.
 
Hakufai kabisa huyo. saa ya ukombozi ni sasa chukua hatua songa mbele.
Tafuta mwanamke ambaye atakuwa muwazi kwako itakusaidia!
 
Kuna msichana nipo nae kwa uhusiano for about 4 years now, mi nafanya kazi flani hapa Dar na yeye yupo chuo flani Dodoma. Tulianza uhusiaano 2007 ye alikuwa Form 4 na mi nilikuwa Chuo. Ila shida napata naye siku zote ni kuwa yeye hupenda sana kuchunguza simu yangu ataanza maswali kuhusu contacts zote za majina ya kike asoyajua, message zote ila yeye ananikatalia yake. Alivyoona namsumbua kaamua kuweka SECURITY CODE. Kuna nini hapo?

Kwani simu hiyo ni jumuia mpaka mwe mnatumia wote?
 
Hapo mkuu upo wewe mme mtarajiwa na jibaba/zee la kulichuna so hataki uone sms za babu
 
kuna ambacho hataki ukione kwenye simu yake,heshimu hilo.....:suspicious::suspicious:

If you do not trust her and she is not helping you to trust her ,then let her go.......:car:

am trying so hard to trust her ila tatizo naumia kuwa gizani kuhusu vilivyomo kwenye hiyo simu tena niliyoinunua mwenyewe kama zawadi ya kufaulu kwake form 6 vizuri.
 
acha kuchunguza simu ya mwenzako, nadhani ulichokuwa unakitafuta umekipata uchunguzi na wivu wako umeishia kuwekewa password sasa roho inakuuma unaona unaibiwa. Achana na simu za wanawake na pia mwambie mwenzako akae na simu yake aachane na yako. Kila siku simu zinaharibu mahusiano na nyie ni victims wa hali hiyo.

Halafu mmekaa ktk mahusiano miaka minne na mtu bila ya kuanza kufanya taratibu za uchumba na kuoa? Ndio maana msichana amekuona huna maana zaidi ya kuona unampotezea muda na kwa taarifa yako wenzio wanakuchapia ndio maana umewekewa password ili usione kinachoendelea na umetafuta mwenyewe kuyajua na sasa yamekuzidia unakuja huku tukushauri.

Kingine mwanaume unatakiwa kuwa na msimamo na pia kama unahisi kuna tatizo wasiliana na mwenzio na umuulize kwa nn anaweka password kwenye simu yake, nadhani kama anakupenda na kukujali ataitoa hiyo password ila ukiona haijatolewa ujuwe hakupendi na hakuthamini

mwisho videmu vya cbe dodoma ni vicheche mno kama ndio yuko hapo kapime ngoma haraka kisha piga chini

yupo u dom.

 
Simu ya mtu ni siri. Kisheria hutakiwi kupekuwa simu ya mtu bila yeye mwenyewe kukuruhusu
 
siyo ya jamuiya ila mbona yeye anakomalia yangu tena nisipompa inazua bonge la ishu.


Mambo mengine unajidhalilisha we mwanume gani unatawaliwa na mwanamke tena girlfriend wala si mke??
Hebu onyesha uanaume wako acha kulegea kijana
 
Back
Top Bottom