hataki mpangaji mwenye gari

Last edited by a moderator:
he he he, utatembea na nyumba, akha.

Nanunua gari, naweka na heshima bar, nyumba ntajenga nikizeeka.

Ukifa lazima wakuweke kwenye nyumba yako ya milele tu.

Unaleta ubishoo wa nyumba kwenye daladala.
 
Jaman maisha ya dar es salaam bila gari ni tabu as kwenye proffessional nyingine smartness ni muhimu sana, kwa usafiri wa daladala unaweza kwenda kwenye meeting na shati chafu tena na clients ukaonekana kituko, gari hadi million 7 to 10 unapata, but kiwanja gan itapata kwa bei hiyo harakaharaka, huyo mwenye nyumba ana matatizo ya akili but gari sio luxury need ni essential ndo maana tumenunua mapema, but kujenga needs some times, I plan to build my house around 5-7 years pole pole sasa mda huo wote nikakae wapi kama nisipopoanga.
Also nina imani kujenga sio kazi, kazi ni kupata kiwanja kizuri kwenye location unayopendelea kuishi.

Jaman magari sio utajiri,

hili ndo jibu...... Like like
 
natumia simu ningekugongea like.
Usimshtue casico wala gfsonwin....
Mie nakuja now now...

Hivi unajua babu Asprin kagandana na Yummy? Na mgomo huu wa madaktari sijui watafanyaje.....

orait orait hivi bado wamegandana? Hii sasa itabidi Yummy na Asprin ndoa ya mkeka....... gfsonwin na cacico ambaye ni shemeji yangu wapo kwen kuandaa msuto wa pili wa Bishanga maana Zinduna ameonekana kuwa DHAIFU kwen hili

sasa wewe u come this way hakuna noma lol
 
Last edited by a moderator:
Samahani dada Preta, wewe ni mchaga?

Kaka zenu nasikia ndo huwa hawaoi kabla hawajajenga kwao na mjini, ni kweli?

ndio....mimi ni mchagga pyua....
ni kweli.....kaka zetu wengi wao hawaoi bila kujenga, kama hajajenga ana kihamba.....kama hana kihamba ana hela ya kukinunua....kama hela hana....ana wazo la kuwa nacho......

na sisi dada zao....tunafuata nyayo za kaka zetu......kama huna....hutuoi.....
(uwiii....ndo nshavuta bange mahakamani)

orait orait hivi bado wamegandana? Hii sasa itabidi Yummy na Asprin ndoa ya mkeka....... gfsonwin na cacico ambaye ni shemeji yangu wapo kwen kuandaa msuto wa pili wa Bishanga maana Zinduna ameonekana kuwa DHAIFU kwen hili

sasa wewe u come this way hakuna noma lol

miye nawashangaa mnaumia kwa ajili ya Asprin na Yummy, kumbe usililijua ni kama usiku wa giza na umdhaniaye ndiye kumbe siye. hivi mmeshajiuliza mbona nakuja na kuchungulia? basi babu yenu alikolea toka nimpake dawa kaniganda kama luba, hapa alikuja toka juzi nimpe mavibration na mfyonzo mnake alikuwa anauskia kwa Kaizer tu.

leo ana POP ya kiuno na mguu wa kati.miye nina kazi ya kukanda mbedude yangu. tumefaidije jamani? kungwi @work ndio ujira wenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Samahani dada Preta, wewe ni mchaga?

Kaka zenu nasikia ndo huwa hawaoi kabla hawajajenga kwao na mjini, ni kweli?

hivi my dearest utaolewa na mkaka akupeleke kwao mkalale nyumba moja na baba mkwe? na kuoga bafu moja? bora ya wachaga aisee manake mkaka akioa na nyumba ya kulala anayo. sasa kweli nyumba moja kordo moja mkipigana mpera baba anakuskilizia???????? .........itabidi hapo basi hata miguno isiwepo, sipati picha baba anatoa dozi chumba namba moja mtoto naye chumba namba 2 asbh mkiamka vidume vinatoka na taulo kordoni na kusalimiana lol......
 
exactly my dear it does not make sense at all
 
Nyumba sio muvable,
mi nimejenga moro wakati nafanya kazi huko na kununua gar, nikihamia dar naondoka na gari nyumba napangisha, dar naenda kupanga,
so mpangaji wangu ananiona kiaz coz nimepanga kwake.
huwezi jenga nyumba kila mahali unapoishi otherwise ww fisadi, wengine tunafanya kaz sehem kwa muda wa miez 6-12 je kwa muda huo waweza kujenga na kuishi kwenye nyumba yako?
 
Kuwa na gari si utajiri jamani, gari ni chombo cha kukusafirisha tu kutoka point A kwenda B. Huwezi kulinganisha gari na kujenga nyumba, na mtu akiwa na gari inaweza kumfanya akajenga kirahisi zaidi.
 
Ndo kusemaje gfsonwin.........................

ndo nasema kumbe hata yule unayemwaamni pia aweza kukusaliti? hope huwez eeh! love. but pia miye nlijua tumellala sote kumbe wenzangu ulintoroka kwenda kutuma post usiku. kweli naona penzi limeshaanza kuota mbawa hili lolest. Ila siunsjus nilijiunga na boxing club juu yako mambwepandw patawahusu humu ndani shauriyoo.................
 
exactly my dear it does not make sense at all

aisee ni dhambi sana wenda kwenu ukalala na mkeo as mr &mrs kwenye vitanda ambavyo na vyumba ambavyo hata ndugu zako wanalala yani mlikua mnalala amlipokuwa wadogo na sasa mmekua hujajenga bado wavitumia vyumba hivi hivi.

huwaga napenda sana wachaga kwamba hata binti wa kike wa kike akienda na mumewe, huwa lazima wazazi watajitahd kutafuta vyumba spesho tena ambavyo wakiondoka huwa havitumiki walale huko. lakin sasa mara nyingi sana wakaka waliooaa uchagania huwa watu wanawashangaa ukilala ukweli hi huwaga sijui ni kwanini mpaka leo.

mfano kwao mkwe wa kiume anakwenda kusaliamia na kuaonadoka basi haruhusiwi ama inaonekana kama ni aibu fulani kulala pale na mara nyingi kweli huwa hawalali.
 
kupanga ni kuchagua alisema Nyerere, na kila mtu anatafuta pesa ili apate maisha mazuri. kila mtu ana definition yake ya maisha mazuri, kama wewe umepanga kuanza na nyumba baadae gari ni sawa, na mwingine alieanza na gari ni sawa kwake pia. just live ur life, after all life is not permanent.
 
MKATA KIU Ok, gari si utajiri kama unaweza kuafford gari basi kodisha nyumba ndogo, flat na sio kukodisha chumba ambacho kiko banda la uani tena huko uswahili ....mbagala. Hata mazingira yenyewe sio salama kupark hilo gari.

Upuuuzi mtupu
 
Ukosefu wa miundombinu kama maji, umeme na mawasiliano sehemu za pembezoni na miji inaweza kuwa sababu ya watu wengi kuendelea kuishi nyumba za kupanga. Unaweza kuwa na kiwanja sehemu ambayo miundombinu hiyo hakuna hivyo huwezi kuanza ujenzi haraka haraka. Watu wanapanga si kwamba hawana hela ya kujenga nyumba bali ni kuishi sehemu ambazo watapata huduma muhimu kwa urahisi.
 
"wenye Nyumba wapumbavu" huwa hawalielewi hili! wanadhani kwa vile wamejenga, basi ndo mwisho wa Dunia. Ngoja sheria ya janurai Makamba ije walipe kodi inavostahili ndo tutaheshimiana mjini apa.....
 
Back
Top Bottom