Hataki kuitwa MRS

hapo kwenye umbea nadhani umenikosea heshima. Hii kitu imeulizwa na bosi & top management, inashangaza.

Anyways nimekuelewa
Aiseee...samahani sana kwa kutumia neno umbea!!

Nwy hayawahusu...hata kama rais ndo angekua ameuliza maana anachojiita haihusiani na kazi hata chembe!Hiyo ni biashara yake na mumewe...nyie wengine bakini kua waangaliaji tu!
 
Apology accepted.
 
hapo kwenye umbea nadhani umenikosea heshima. Hii kitu imeulizwa na bosi & top management, inashangaza.

Anyways nimekuelewa

Kweli bado nashangaa kwa maneno hayo bolded..nacheka sana, I wish ungejua ninachofikiria!..job tru tru!!
 
siku hizi ni kizazi cha dot com...maaamuzi ya she mwenyewe sio lazima afuate zana zileee za ujima za kutumia sir name ya mr. anaweza kuolewa lakini akatumia jina lake la sir name la zamani kabla ya ndoa nazani ni maamuzi ya mtu sio lazima mr. alazimishe
 
Makubwa Mrs ndo nini??? Mnafatilia mke wenu huyo jamani watu wengine sijui mkoje yaani mpaka top management inafatilia issue personal kweli Duniani kuna mambo sijaelewa kabisa.

Im out
 
Bibie anavaa pete? Kama havai...... then you have the answer! Jamani huyo dada ana lake!
 
Nina swali kwako mtoa mada

Kwa mtizamo wako huyo dada hataki kuitwa Mrs kwasababu hataki kuonyesha kwamba ameolewa? na hapo ofcn kwenu wale walioolewa mmezoea kuwaita mf Mrs Kingi nikiwa na mana ya majina ya waume zao au jina la mtu binasfi?

Mana majina yote yanaweza kutumiwa kutokana na mtu anapenda kuitwa vipi. Ila ikiwa kwenye swala la kuandika unaweza kuandika Ms (hapa ukiwa bado unatumia jina lako hata kama umeolewa) na Mrs ukiwa unatumia jina la ukoo wa mume wako. So inategemea tu hakuna ubaya. Ninyi hapo ofcn mfundisheni jinsi ya kutumia majina kama anataka kutumia la kwake aandike Ms fulani na kama anataka kutumia jina la ukoo wa mumewe aandike Mrs fulani. Ni elimu tu hapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom