Hataki kuitwa MRS

Mkimbizi

JF-Expert Member
Aug 23, 2008
222
34
Wanajf kuna dada mmoja ananishangaza sana. Ana miaka kama 25 hivi, kaolewa juzi juzi tu(kama miezi 10). Tatizo hataki kabisaaaaa kuitwa Mrs. Yaani mpaka job kwake ameandikisha Miss. Je hii ina maana gani? Mumewe anajua? Ukimuuliza anasema ooh! security! Au yuko kifisadi?
 
Sasa tutajuaje kama mumewe anajua we mkimbizi?..labda ameandika Ms.XXX badala ya Miss. XXX hivyo haina neno..
Kwanza ukute amekubaliana na mumewe hivyo hayakuhusu au kama vipi muulize siyo kumfuatilia kisa title ya Mrs..lol
 
Mumewe hajui!! Amesema mwenyewe! Halafu pia kusema hayanihusu utakuwa umeconclude kuwa hayatuhusu ofisi nzima, na Taifa lote kiujumla. Huyu bibie kaolewa, na mke kwa kiingereza kwenye title ni MRS!!

Mwenye ufahamu anaweza kunijuza
 
Wanajf kuna dada mmoja ananishangaza sana. Ana miaka kama 25 hivi, kaolewa juzi juzi tu(kama miezi 10). Tatizo hataki kabisaaaaa kuitwa Mrs. Yaani mpaka job kwake ameandikisha Miss. Je hii ina maana gani? Mumewe anajua? Ukimuuliza anasema ooh! security! Au yuko kifisadi?
Hajazoea miaka ikikatika atakuwa anajitambulisha mwenyewe!!
 
Mumewe hajui!! Amesema mwenyewe! Halafu pia kusema hayanihusu utakuwa umeconclude kuwa hayatuhusu ofisi nzima, na Taifa lote kiujumla. Huyu bibie kaolewa, na mke kwa kiingereza kwenye title ni MRS!!

Mwenye ufahamu anaweza kunijuza

Nifanyapo kazi kila mwanamke anaitwa Ms XXX, mind you hii ni fotauti na Miss...
Kweli nime-conclude hayawahusu, kuanzia wewe mpaka ofisi na hilo taifa kiuzitisho..labda kama ulitaka kuelewa maana ya hizo titles!!
Ila sababu ya kukata kabisa kuitwa Mrs. mimi siijui!!..usimpeleleze mke wa mtu bwana!
 
Nifanyapo kazi kila mwanamke anaitwa Ms XXX, mind you hii ni fotauti na Miss...
Kweli nime-conclude hayawahusu, kuanzia wewe mpaka ofisi na hilo taifa kiuzitisho..labda kama ulitaka kuelewa maana ya hizo titles!!

Nimekuelewa
 
Mkimbizi mengi yanawezakusababisha hili kwa sababu umless hiyo kazi ameipata baada ya kuolewa but kama aliipata akiwa bado Miss nadhani mpe muda atafuata taratibu. But kama anatumia Ms hakuna tatizo kwani inatumika kwa wote Miss na Mrs.

Hata hivyo kwani pete za ndoa havai?? na jina je anatumia la mumewe au la kwake? Nimeuliza hayo kwa kuwa kuna implication na taratibu za kufuata si kujibadilishia tu............ na kama alikuwa anaitwa Miss. Ngalatumbwe Ngulukwilikwi na ameolewa hawezi tu kuongezea Mrs mbele kwani itakuwa na maana tofauti.
 
Wanajf kuna dada mmoja ananishangaza sana. Ana miaka kama 25 hivi, kaolewa juzi juzi tu(kama miezi 10). Tatizo hataki kabisaaaaa kuitwa Mrs. Yaani mpaka job kwake ameandikisha Miss. Je hii ina maana gani? Mumewe anajua? Ukimuuliza anasema ooh! security! Au yuko kifisadi?

Kwangu mimi, kama anajiita miss/ms/mrs haimaanishi sana kama anachukua responsibility za familia na yeye kujiona kaolewa na mke wa mtu. Haitakuwa na maana kama utavaa tshirt imeandikwa 'I'm married' halafu tuendelee kugongana guest house.
Anajiheshimu kama mke wa mtu? Au bado anavitabia vya kudate na wengine? Halafu, kwani havai pete ya ndoa ambayo ndo sign tosha ya MRS?
 
yanakuhusu nini?
ya mr au mrs....
 
yanakuhusu nini?
ya mr au mrs....
yananihusu sababu ni mwanadamu ambaye ninaishi nae. Sisi hapa hatuishi kibinafsi, kama kuna kitu unahitaji kufahamu na kiko ndani ya mipaka, tunaeleweshana.
 
Mkimbizi mengi yanawezakusababisha hili kwa sababu umless hiyo kazi ameipata baada ya kuolewa but kama aliipata akiwa bado Miss nadhani mpe muda atafuata taratibu. But kama anatumia Ms hakuna tatizo kwani inatumika kwa wote Miss na Mrs.

Hata hivyo kwani pete za ndoa havai?? na jina je anatumia la mumewe au la kwake? Nimeuliza hayo kwa kuwa kuna implication na taratibu za kufuata si kujibadilishia tu............ na kama alikuwa anaitwa Miss. Ngalatumbwe Ngulukwilikwi na ameolewa hawezi tu kuongezea Mrs mbele kwani itakuwa na maana tofauti.

Amepata kazi akiwa amekwisha olewa. Hatumii hata jina la mumewe lakini anavaa pete...
 
Kwangu mimi, kama anajiita miss/ms/mrs haimaanishi sana kama anachukua responsibility za familia na yeye kujiona kaolewa na mke wa mtu. Haitakuwa na maana kama utavaa tshirt imeandikwa 'I'm married' halafu tuendelee kugongana guest house.
Anajiheshimu kama mke wa mtu? Au bado anavitabia vya kudate na wengine? Halafu, kwani havai pete ya ndoa ambayo ndo sign tosha ya MRS?

Hana tabia hizo. Ila ni kwanini ajiite hivyo? Je inakubalika? That is my worry
 
Amepata kazi akiwa amekwisha olewa. Hatumii hata jina la mumewe lakini anavaa pete...
Basi acha umbea....as long as anabehave kama mke wa mtu acha kumfutilia mara sijui anajiita misi mara sijui misiz maana hayo hayakuhusu.Ila kama anabehave vibaya hapo sasa unaweza sema unataka kumrekebisha!
 
hapo kwenye umbea nadhani umenikosea heshima. Hii kitu imeulizwa na bosi & top management, inashangaza.

Anyways nimekuelewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom