Nimetoka kwa mzee wangu kumsalimia maeneo ya Tandika na ni mwaccm damu. Nikamuuliza vipi mwendo wa nchi kwa sasa. Akasema Duh huyu kijana naona nchi ishamshinda tayari hali ni mbaya ya kimaisha watu hawana pa kupuimulia na huyu akifanya mchezo serikali hii na chama chake vitamfia mkononi iwe historia bure hapa na anaongezea kwa kusema kwamba chadema nao wakienda vizuri wanaitumia hii nafasi ya maisha magumu itaamsha hisia za watu itakuwa balaa hapa" mwiho wa kumnukuu.
Nikajiuliza kumbe hata makada wa ccm wenyewe wanaliona hilo na hawa wanaopiga kelele za ccm humu ndani wanampigia nani nao hawalioni au umebaki ushabiki tu wa chama.
My Take: Nchi ishaoza hii mkubali au mkatae msilete ushabiki wa vyama humu ndani wakati hali halisi inajionyesha klwamba mkwere nchi ishamshinda kila mwananchi ana hasira na kiongozi wa nchi nini kitafuata? je wafanyakazi watakuwa wafanisi kweli serikalini? uzalendo utakuwepo nchi hii? Hatua zichukuliwe mkwere atubakishie nchi yetu tumechoka. Na wana ccm wa humu ndani muache ushabiki wa kipumbavu.