Hata usipooa au kuolewa hutakufa………!

kadadeki ebu ngoja upate ajali alafu uparalyse alafu uwe hujaoa au hujaolewa uone matusi utkayoporomoshewa na ndugu zako
oh mie sioi sasa ona unvyotapatapa...nani aje ashike mavi yako hapa.

tusidanganyane kuoa ni muhimu upende usipende. wale ambao wataki kuoa basi wafanya moja kati ya haya
1) hakikisha unapesa za kutosha kiasi cha kwamba ukizeeka wewe unaenda old mans home
2) kuwa na bunduki yako pembeni kabisa na uwe na mentality ya kwamba kama likitokea lolote najipiga risasa. hujafa hujaumbika kaka lolote laweza tokea na wakaribu yako ni mke/mume ndugu watakuja leo na kesho ....binadamu achelewi kuchoka!!! na juu ya hapo watakumwagia matusi.

Khaaaaaaa.........................
 
Kama umeoa/olewa halafu mkeo/mumeo akafa, baada ya wiki ndio ukapata hiyo ajali au ukaparalyse je utafanyaje? Acha fikra mgando wewe
 
nilijua kuna watu watakuja na mtazamo huu..... hukusoma na kuelewa mada yangu, au niseme uliitafakari kutokana na mazoea. kama ungekuwa umeisoma na kuitafakari kwa jicho la tatu, naamini isingekupa shida. ingawa wapo waliokwishakujibu, lakinisina budi kuweka angalizo.
naamini utakubaliana na mimi kuwa wapo wanaume na wanawake ambao wameingia kwenye ugigili (frustriration) kwa sababu ya kujikuta hawajaoa au kuolewa na umri kuonekana kuwatupa mkono. nilibainisha kuwa wanawake ndio wako kwenye kifungo hicho....... nilikuwa na sababu, wao ndio wameaminishwa kwamba kuchelewa kuolewa ni janga na kwa kuwa watakuwa na nafasi finyu ya kuzaa, lakini pia wakatishwa kwamba kuzaa kabla ya ndoa ni haramu, watoto hao wataitwa haramu. kwa hiyo mwanamke anajikuta yuko kwenye wakati mgumu zaidi. anataka kuzaa japo hajapata wa kumuoa, lakini kuna sauti zinamtisha kuwa ni haramu............
hawa ndio kusudio la mada yangu.

Mie nimekupata vyema mtambuzi, and this is all true,I have a friend of mine yuko desperate sana kuolewa+ pressure kutoka kwa ndugu, na mila za kabila haziruhusu kupata mtoto bila kuwa na ndoa halali, so anadai yuko tayari kwa yeyote atakayetokea bila kujali ni right choice, kampenda ama la!
 
Mtambuz ni kweli kabsa,hz fkra mgando znafanya wa2 2lio 30+yrs kujhc kabsa ha2tapata vjana waukweli wakuoa,hii inasumbua sn.
kiukweli 2nasahau hlo ulosema la maumbile hyana kuoa wala kuolewa,thanks umeniongezea msamiat.
 
Mimi naishi mwenyewe na wanangu,its more than 15 years naishi hivi, am comfortable na nina amani.Wanangu wanaelekea utu uzima sasa. I seriously don't see myself lacking anything.Nshawahi kuoa na cha moto nikakiona,hata uniwekee machine gun kichwani sioi ng'o!
Ps: marafiki zangu wengi wana admire lifestyle yangu na mara nyingi wananiambia kuwa itokee waachike hawaoi tena aslan!
 
nilijua kuna watu watakuja na mtazamo huu..... hukusoma na kuelewa mada yangu, au niseme uliitafakari kutokana na mazoea. kama ungekuwa umeisoma na kuitafakari kwa jicho la tatu, naamini isingekupa shida. ingawa wapo waliokwishakujibu, lakinisina budi kuweka angalizo.
naamini utakubaliana na mimi kuwa wapo wanaume na wanawake ambao wameingia kwenye ugigili (frustriration) kwa sababu ya kujikuta hawajaoa au kuolewa na umri kuonekana kuwatupa mkono. nilibainisha kuwa wanawake ndio wako kwenye kifungo hicho....... nilikuwa na sababu, wao ndio wameaminishwa kwamba kuchelewa kuolewa ni janga na kwa kuwa watakuwa na nafasi finyu ya kuzaa, lakini pia wakatishwa kwamba kuzaa kabla ya ndoa ni haramu, watoto hao wataitwa haramu. kwa hiyo mwanamke anajikuta yuko kwenye wakati mgumu zaidi. anataka kuzaa japo hajapata wa kumuoa, lakini kuna sauti zinamtisha kuwa ni haramu............
hawa ndio kusudio la mada yangu.

Thanx 4 the new vocabulary ugigili
 
Mimi naishi mwenyewe na wanangu,its more than 15 years naishi hivi, am comfortable na nina amani.Wanangu wanaelekea utu uzima sasa. I seriously don't see myself lacking anything.Nshawahi kuoa na cha moto nikakiona,hata uniwekee machine gun kichwani sioi ng'o!
Ps: marafiki zangu wengi wana admire lifestyle yangu na mara nyingi wananiambia kuwa itokee waachike hawaoi tena aslan!

Pole na hongera! Sometimes huwa nadhani wanaume hawawezi ishi bila mwanamke...hasa km alioa na kuwa na watoto....bt umejaribu, umeweza, unasonga mbele....congrats!
 
Kama mie Mtambuzi mwenye utegemezi, sijui kama ningemudu................. Mnyazi Mungu anisaidie Wallahi
 
Pole na hongera! Sometimes huwa nadhani wanaume hawawezi ishi bila mwanamke...hasa km alioa na kuwa na watoto....bt umejaribu, umeweza, unasonga mbele....congrats!
mwanzoni yalikuwa ni maamuzi magumu,lakini nikakumbuka maneno ya mwanafalsafa Socrates aliyeulizwa na mwanafunzi wake...'mwalimu,kipi bora kuoa ama kutokuoa?...akajibu...'either way you will suffer'....its a choice kati ya kustahimili machungu ya ndoa au machungu ya kuwa single father,i chose the latter na sijutii hata kidogo,i am at peace with myself na wanangu wananielewa na kuni support.
 
Kwa wale waliozoea kudekezwa na wake zao, ukiwaamba maneno hayo watakushangaa kweli.....................
 
X raha gani?

Hayati Issa Matona aliwahi kuimba............ Nitamnukuu hapa:

"Usione mwenzio kaoa, ukadhani anafaidi sana,
Kuoa kuna mashaka, mashaka makubwa sana,
.........................................................................
..........................................................................."
 
Huo ni ukweli mweupe kabisa,ila kwa wale wa baadhi ya imani inayowafundisha kuoa/olewa ni lazima huu nh mtihani mzito!
 
Mimi naishi mwenyewe na wanangu,its more than 15 years naishi hivi, am comfortable na nina amani.Wanangu wanaelekea utu uzima sasa. I seriously don't see myself lacking anything.Nshawahi kuoa na cha moto nikakiona,hata uniwekee machine gun kichwani sioi ng'o!
Ps: marafiki zangu wengi wana admire lifestyle yangu na mara nyingi wananiambia kuwa itokee waachike hawaoi tena aslan!

I thought I am out of place as Tanzanian woman approachng 30yrs leaving alone without even a house girl, family hawanielewi ila coz of their unconditional love they have accepted it kwa shingo upande, sina mpango wa kuzaa kabisa unless Mr right showing up at my doorstep. I am not terrified by age kabisa, I feel so well with my life, I work 10 hrs a day, go to gym n coming home to a glass of wine and 30 munites TV time. Sometimes my swt young ananiambia unaishi maisha ya kitamthilia zaidi kuliko uhalisia as standards nilizoweka for a man hazifikiki! Naamini katika to get on what I want n love as me so if hazitafikiwa well n good will keep leaving as I am. I have many friends whom we hang out weekends n hplidays, I have one special visitor whom we meet once in while for sex that is it. Nikiwaambia watu am about to reach 30 wanakataa kabisa! wengi wanadhani ni wanafunzi wa chuo n gym nalipa subscription ya mwanafunzi coz wamejichanganya. Sikumbuki last time kukasirika n kuna watu wanaiambia hivi kuna siku unachukia M? I just laugh.

It didnt come overnight I had abusive relationship the day I gat guts to walk out I have never had any serious relationship ila I av a single man ambaye tunaelewana kuwa we are for fun n enjoying life once that stops n relationship inaishia hapo, friends wonder why we are nt getting married the answer is simple he is my company n simuoni ni mume to my standards. I have planned my life as myself n I know what I will do till old days though I have nt closed doors for ' a compliment' in my life.
 
Kama umeoa/olewa halafu mkeo/mumeo akafa, baada ya wiki ndio ukapata hiyo ajali au ukaparalyse je utafanyaje? Acha fikra mgando wewe

murphy's law inasema ...'la kuwa litakuwa tu'...hivyo hata uoe kama destiny ya uzee wako ni kuadhirika utaadhirika tu.
 
Back
Top Bottom