Hata Tubadilishe Makocha-Tanzania bado saaaaaaaaaaaaaaaaaana

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Wana Jf
Tanzania tumekuwa na desturi ya kila timu yetu ya Taifa ifungwapo basi tunakuwa na visingizio kibao cha kwanza ni kubadilisha kocha,Hata kama tukibadilisha makocha mala 200 bado tatizo lipo palepale

cha muhimu ni kujitahidi kuwekeza ktk mchezo wa soka na hili lahitaji mda mrefu sana,huwezi amka leo then kesho ukataka kuifunga brazil,hilo haliwezekani,tuondoe ukasumba wa usimba na yanga,tuondoe ubabaishaji ktk kuliongoza soka.

Watanzania tunamazoea ya kutaka maendeleo ya harakaharaka ilihali hali yetu hairuhusu


kamwe hatuta kuja kukua ktk maswala ya soka kama hatuta wekeza katika soka
 
Back
Top Bottom