Hata simuelewi huyu mke

majany

JF-Expert Member
Sep 30, 2008
1,223
579
Hivi inakuaje unafika home na kukuta mkeo anachat na mtu kupitia facebook,unamuomba ucheki unakuta jamaa kamtumia meseji eti ni x wake na anamlaumu kwa nini hawakuagana rasmi.....unataka kuzimia...ungefanyaje??
 
duh hapo panahitaji busara saaana tu. kaa naye chini kwa upole ongea naye kiutu uzima kuhusu huyo x wake otherwise ndo utamrudisha huko kabsaaa
 
duh hapo panahitaji busara saaana tu. kaa naye chini kwa upole ongea naye kiutu uzima kuhusu huyo x wake otherwise ndo utamrudisha huko kabsaaa maana hawa wenzetu sometimes wanahitaji aproach ya ki pekee
 
Hivi inakuaje unafika home na kukuta mkeo anachat na mtu kupitia facebook,unamuomba ucheki unakuta jamaa kamtumia meseji eti ni x wake na anamlaumu kwa nini hawakuagana rasmi.....unataka kuzimia...ungefanyaje??[/QUOTE]

Niweke sawa baada ya kutaka kuzimia ndo ungefanyeje au?? Mie ni slow leaner nisamehe
 
Hivi inakuaje unafika home na kukuta mkeo anachat na mtu kupitia facebook,unamuomba ucheki unakuta jamaa kamtumia meseji eti ni x wake na anamlaumu kwa nini hawakuagana rasmi.....unataka kuzimia...ungefanyaje??

You simply ask:
Bibie inakuwaje wewe na huyu x? I thought you guys were done, or was I mistaken maybe?

Majany
There could be more to the situation than meets the eye, and unless you've asked and found out the real deal, unachotaka kuzimia ni nini?
 
Hakuna cha kukaa naye kwa upole hapa kwani tayari iko very clear kwamba wanaendelea hata baada ya kuolewa. Kuishi na mwanamke au mke kuna fomula nyingi ila naona hizi za kidiplomasia zitatufikisha ambapo sipo kwani wanavimba kichwa na kuongeza dharau. Muulize ni kwa nini ameamua kurudi kwa mtu wa kale wakati ninyi wanandoa. Then waite wazazi wake na ndugu zake then mfanye kikao cha kumwonya ili mjue kulikoni. Kama ana wazazi wenye busara basi wakishamwonya si rahisi aendeleze huo ujinga na akiendeleza mpe likizo ya kwenda kwao kwa muda ili akili itulie la sivyo unaweza pata pressure ndugu yangu . Wanawake wakibembelezwa sana huwa wanavimba kichwa na kuongeza tabia ya dharau kwa waume zao.
 
Hivi inakuaje unafika home na kukuta mkeo anachat na mtu kupitia facebook,unamuomba ucheki unakuta jamaa kamtumia meseji eti ni x wake na anamlaumu kwa nini hawakuagana rasmi.....unataka kuzimia...ungefanyaje??[/QUOTE]Ningetaka kuzimia hivyo hivyo
:kev::kev:
 
Mimi sioni kama huyo mke anacheat kwa kutokana na ulivyosema alikuwa anaulizwa kwa nini hakuaga. Unless utoe ufafanuzi zaidi. Umeoa lini (mwaka wa ngapi?) je kabla ya kuoana mlikuwa marafiki kipindi gani. Isije kuwa mlikutana kama wafanyavyo wazungu love on the first sight mkakimbilia ndoa kabla hamjafanya clearance.

Wanaume mnakuwa na wivu sana na kukimbilia kwenye conclusion whenever you find another man in any relation with your wives. Think positively you are the winner mwenzio kapigwa kibuti wewe ndo umechukua jumla. Think positively.
 
Wanamke walio wengi diplomasia ndani ya mahusiano hawajaizoea na wanaitumia vibaya wanapoipata,kiufupi wengi wao wakipendwa kwa dhati na ukatoa nafasi ya democrasia, mara nyingi matokeo hua ni negative. Huu ni mtazamo na experience pia
 
Mhh labda wewe uliiingilia uhusiano wao ndo maana bado wanawasiliana.
pole sna kifupi huyo mke hakufai :A S-key:
 
Hivi inakuaje unafika home na kukuta mkeo anachat na mtu kupitia facebook,unamuomba ucheki unakuta jamaa kamtumia meseji eti ni x wake na anamlaumu kwa nini hawakuagana rasmi.....unataka kuzimia...ungefanyaje??

Kwa vyovyote vile mawasiliano kama hayo si mazuri..Ongea na wife wako, usikae kimya na donge moyoni. Je, na wewe unawasiliana na x-wako yoyote akajua?labda anakulipizia mana mpaka umemuomba kucheki message kakubali, si padogo hapo!!..
 
Hakuna cha kukaa naye kwa upole hapa kwani tayari iko very clear kwamba wanaendelea hata baada ya kuolewa. Kuishi na mwanamke au mke kuna fomula nyingi ila naona hizi za kidiplomasia zitatufikisha ambapo sipo kwani wanavimba kichwa na kuongeza dharau. Muulize ni kwa nini ameamua kurudi kwa mtu wa kale wakati ninyi wanandoa. Then waite wazazi wake na ndugu zake then mfanye kikao cha kumwonya ili mjue kulikoni. Kama ana wazazi wenye busara basi wakishamwonya si rahisi aendeleze huo ujinga na akiendeleza mpe likizo ya kwenda kwao kwa muda ili akili itulie la sivyo unaweza pata pressure ndugu yangu . Wanawake wakibembelezwa sana huwa wanavimba kichwa na kuongeza tabia ya dharau kwa waume zao.

Nimeamini kweli wewe ni mvumbuzi,.....solution tosha.
 
Mvumbuzi, hili la kuanza vikao na wazazi mbona limekuwa la haraka hivi? Ndoa ni ya wawili, nafikiri kwanza waongee wenyewe, vikao na ndugu mara nyingi ndivyo vinaharibu ndoa nyingi. Watafute kwanza suluhisho wenyewe kabla ya kufikia huko. Unaweza ita ukoo halafu ukakuta jambo lenyewe wala si zito hivyo.
 
Unapaswa kukemea kabisa hayo mawasiliano ya hao wawili.Kwani siku mkikwaruzana kidogo tu ataweza enda angukia mikononi mwa huyo x wake.
 
Mmh Mvumbuzi na wewe Punguza jazba hajasema kama wamerudiana naomba nimnukuu"unakuta jamaa kamtumia meseji eti ni x wake na anamlaumu kwa nini hawakuagana rasmi....."kwa uelewa wangu mimi nadhani jamaaa analalamika kwamba kwanini hawakuagana kwakuwa kila mtu anaenda kuanza maisha mengine,Mimi nadhani busara na hekima inahitajika sana katika hili na mapema mno vitu kama hivi kuanza kufikisha kwa wazazi kwa kuwa mwisho wa yote MPIRA UTACHEZWA NA WANADOA HAWA WAWILI TU,mambo mengine wanatakiwa kuyasolve wenyewe ndani nadhani hiki ni kitu kidogo na ni mapema mno kuanza kupelekana kwa wazazi kabaneni wenyewe ndani.
 
Hakuna cha kukaa naye kwa upole hapa kwani tayari iko very clear kwamba wanaendelea hata baada ya kuolewa. Kuishi na mwanamke au mke kuna fomula nyingi ila naona hizi za kidiplomasia zitatufikisha ambapo sipo kwani wanavimba kichwa na kuongeza dharau. Muulize ni kwa nini ameamua kurudi kwa mtu wa kale wakati ninyi wanandoa. Then waite wazazi wake na ndugu zake then mfanye kikao cha kumwonya ili mjue kulikoni. Kama ana wazazi wenye busara basi wakishamwonya si rahisi aendeleze huo ujinga na akiendeleza mpe likizo ya kwenda kwao kwa muda ili akili itulie la sivyo unaweza pata pressure ndugu yangu . Wanawake wakibembelezwa sana huwa wanavimba kichwa na kuongeza tabia ya dharau kwa waume zao.

du kaka..kesi ndogo tu i mpaka kikao cha wazaz?
mbona ni suala la kumalizwa na nyinyi wawili tu?
aina haja ya mtu kwenda kwao ni kukaa akupe maelezo ya kujitosheleza na wewe kaka mipgie uyo x wake umwambie aache kuwasiliana mke wako na mkanye mkeo aache ujinga wake fullls toooooooooop
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom