Hata Rwanda wanatuacha sasa kimaendeleo

I think we should start with the basics here....Education! Tungekua tumeendelea kielimu tungeweza kupambana na viongozi na hata kushindana kwenye global stage...Lakini our education background (which btw has picked up of recent) is the root of all our problems.
Tupeleke watoto shule na tukuze sector ya elimu nchini then at least we can move on from there...
Scenario moja apo ni graduate kutokujua hata ku construct a descent statement in english....Am not saying English is a measure of ones education & qualifications, but it is the basic necessesity for someone to grade you accordingly, mpaka hapo badae aweze kuona utendaji wako wa kazi..
 
Watanzania si wabunifu na wasiojituma katika kazi, na bado wanahitaji kuishi kitajiri bila kufanya kazi. Tatizo jingine ni ubinafsi wa walioshika madaraka nchi hii pamoja na watumishi wa umma. wote kwa pamoja hawako kwa masilahi ya nchi bali kwa matumbo yao tu. utamkuta mfanyakazi wa umma anaingia kazini saa tatu, hafanyi kazi yoyote mpaka anarejea nyumbani kwake.
 
Ivi kenya kujenga kiwanja apo Taveta maana yake nini ili shirikisho jamani latufaa kweli wakati wanajua fika KIA IKO KARIBU APO
Kazi yetu kulalamika tu na kwa hilo tuko hodari sana.Ni juzi tu balozi wao hapa nchini alisema kutangaza samunge ya babu wa kikombe iko kusini mwa Kenya ni mbinu za ushindani wa kibiashara. Endelea kulalamika wenzetu wanatenda.
 
You google the GDP of Sychelles! The country is moving forward due to toursim... here in bongo we have never been serious in anything! Whatever we do it is as if we are trying! We are not focused.. We have many good things on papers... but we never implement them! Let Kagame and Rwanda GO! Go Kagame Go!
 
Back
Top Bottom