Maeneo ya ukwara road nikapiga picha.
ulikua Nairobery mitaa ipi?
Westlands, Umoja, Eastleigh, Loisambu kule karibu na Kasarani, uzunguni Hurlingham au Gikombaa, Kibira au mitaa gani?
Hata hivyo Nairobery kuzuri lol...
huyo atakuwa kafika Kawangware teh teh!!!!!!
hahaha soma vizuri ni Kibira sio Kibera...huko ni full uswazi ndugu yangu
Lol, sina mbavu mie.
Kibera Kibera yote sawa tu.....Umeshawahi fika huko wewe????
Kibira sijafika ila Nairobery nimeshawahi kuishi ....
Nairobi kitu gani bana! Njoo Kiding'a ndio mpango mzima!
kwa raha zako! jifurahie mwaya, mie mwenyewe nilifurahia sana siku nilipompeleka mtu uvinza! maana mie nimezaliwa huko, ila kuna mkaka alikuwa hajawahi fika, nikampeleka. ali-enjoy sana na kufurahia sana mandhari ya uvinza!
Hebu nipe habari ulikuwa waishi wapi mwenzetu....................
Huyu anataka kutuchekesha tu na kutufanyia siku yetu kuwa nzuri asante sana Mchuzi wa bata
Kwa mara ya kwanza jana nimerudi kutoka Nairobi Kenya, nilikuwa sijawahi kusafiri nilikuwa napasikia tu kuzuri sana kuna maghorofa mengi sijui Shinyanga yetu itaifikia lini Nairobi, hata nikifa leo nimeishafika Nairobi.
Nilipataga maid mrombo, kila siku was.nairobi this nairobi that. Nikamuuliza mdada alieniletea wa huko kwao. Kumbe alitekwaga akapelekwa nairobi akakaa 3 months. Nikaanza kumuhoji ulikuwa unakaa wapi? Akaniambia kayole. Nilicheka sana, manake ni mahali pa chini nadhani ikitoka kibera ndo kunafuatia.