Hata nikifa leo nimeishafika Nairobi

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Kwa mara ya kwanza jana nimerudi kutoka Nairobi Kenya, nilikuwa sijawahi kusafiri nilikuwa napasikia tu kuzuri sana kuna maghorofa mengi sijui Shinyanga yetu itaifikia lini Nairobi, hata nikifa leo nimeishafika Nairobi.
 
Huyu naye jamani anasema kwmb amefika Nairobi tu?

Angefika na hata kule mtaa wa Kericho kwenye matanusi ya huyu member mwenzetu Preta na ajionee mambo yalivyo huko,magorofa yamepangana kama yameoteshwa vile.

Ngoja atakuja mwenyewe na utamsikia!

Eti Nairobi!!
 
ulikua Nairobery mitaa ipi?
Westlands, Umoja, Eastleigh, Loisambu kule karibu na Kasarani, uzunguni Hurlingham au Gikombaa, Kibira au mitaa gani?
Hata hivyo Nairobery kuzuri lol...
 
wtf?????? Tanzanians are s.t.u.pdy like this now days.. Wanairobi wanatamani kuja kuishi Tanzania wewe unaitamani nairobi yao
 
mkuu mbona unamnan'ga mwenzio,kipenda roho jamani,bishanga raha yangu kuvinjari maeneo ya kandahar,mkuu ushafika huko? Kuzuri sana.
 
kwa raha zako! jifurahie mwaya, mie mwenyewe nilifurahia sana siku nilipompeleka mtu uvinza! maana mie nimezaliwa huko, ila kuna mkaka alikuwa hajawahi fika, nikampeleka. ali-enjoy sana na kufurahia sana mandhari ya uvinza!
 
Bishanga morning!! habari ya uzima wako? umenioneapo Asprin mahali, mwambie nimemiss! lol
 
Last edited by a moderator:
Huyu alitoka koinange
ulikua Nairobery mitaa ipi?
Westlands, Umoja, Eastleigh, Loisambu kule karibu na Kasarani, uzunguni Hurlingham au Gikombaa, Kibira au mitaa gani?
Hata hivyo Nairobery kuzuri lol...
 
mkuu huko Ilkiding'a vumbi hadi magotini...halafu sijui kama siku hizi kuna magari huko

huko unapozungumzia sijui ni wapi? Huku ndio mahali bora pa kuishi huku duniani kwa sasa! Lol....
 
Nimechekaje mie....................ha ha ha Nairobi sehemu gani mwenzetu??? watu8 acha uchokozi Kibera tena???
 
Last edited by a moderator:
ulikua Nairobery mitaa ipi?
Westlands, Umoja, Eastleigh, Loisambu kule karibu na Kasarani, uzunguni Hurlingham au Gikombaa, Kibira au mitaa gani?
Hata hivyo Nairobery kuzuri lol...

Maeneo ya ukwara road nikapiga picha.
 
Huyu naye jamani anasema kwmb amefika Nairobi tu?

Angefika na hata kule mtaa wa Kericho kwenye matanusi ya huyu member mwenzetu Preta na ajionee mambo yalivyo huko,magorofa yamepangana kama yameoteshwa vile.

Ngoja atakuja mwenyewe na utamsikia!

Eti Nairobi!!

Wewe jamaa vipi Mwalimu Nyerere mwenyewe alishatuambia hakuna haja ya kwenda London, kama maghorofa yapo Nairobi.
 
kwa raha zako! jifurahie mwaya, mie mwenyewe nilifurahia sana siku nilipompeleka mtu uvinza! maana mie nimezaliwa huko, ila kuna mkaka alikuwa hajawahi fika, nikampeleka. ali-enjoy sana na kufurahia sana mandhari ya uvinza!

Nairobi kuzuri sana kuna mitaa ya juu.
 
huko unapozungumzia sijui ni wapi? Huku ndio mahali bora pa kuishi huku duniani kwa sasa! Lol....

Nazungumzia Kiding'a iliyopo Arumeru, unaingilia hapo Mianzini unapita ilboru, ekenywa na kuendelea huko juu...
 
Back
Top Bottom