Hata mimi nashangaa

sema bwana...haaa ndio aungame.

Nyamayao ila hilo swala la mhudumu kumpakia nguo jamaa dah hapo ndipo pa kuanzia kufanyia uchunguzi auulize why hadi mhudumu akachukua hilo jukumu la kumpakilia nguo kwenye begi lake
 
Kwa hili anashangaza.Hajatumia busara kuondoka.Na akimwambia kuwa ni kweli alizitumia hizo kondomu ndio atapona?au ataridhika?
Mi naona amefanya busara kuondoka. Mpaka kieleweke. Akikiri kwamba amezitumia basi wasubiri mpaka wapime afya zao hahahahaha! Na huyo jamaa atkua siyo mwaminifu!:confused2:
 
Yeye akisusa huyo nyumba ndogo aliyefanya njama ndio atahamia na kujilia kwa raha zake.Arudi tu akapambane huko huko kumkomboa mumewe.Kukimbia matatizo sio solution
 
Nyamayao ila hilo swala la mhudumu kumpakia nguo jamaa dah hapo ndipo pa kuanzia kufanyia uchunguzi auulize why hadi mhudumu akachukua hilo jukumu la kumpakilia nguo kwenye begi lake

kaka mie jana nilishindwa kuweka hilo jambo sawa, mana ningelibeba mie kama ninavyobebaga ya watu wengine(wakomavu) au yangu mwenyewe kwa maswali ningeyomhoji huyo mdogo wangu juu wa safari ya mumewe nadhani hii ndoa ingezidi kuyumba na bado changa, so hapa cha kufanya ni kwenda na mdada pole pole, bado 2napenda awepo kwenye ndoa yake ukizingatia ina miezi tu, hata dadake tumeongea kiutu uzima tukasema tumshawishi tu hii leo arudi kwake mana tutamchanganyia mambo kama cc wakomavu tukilishikia bango hili jambo tutaharibu (mana kwa wakomavu hii ni rough ya mchana kweupe)...yeye tutaishia kumpa moyo na kumtuliza apoe....na kama ilivyo mume kashikia bango kwamba na yeye "anashangaa" bac ngoja tujifanye tunashangaa wote kumpa moyo mdogo wetu.
 
kuna wakati nilipokuwa na kasheshe zangu kwenye ndoa, nilikuwa nikiwaangalia watoto wangu wazuri nasema wacha nikae kae kanipa watoto watamu, yani yeye hayupo tena akilini mwangu ila wanangu....sasa na huyu cku moja atafikia huku tu.

Kweli inafikia wakati....watoto tu ndio wanao kupa faraja!
coz wao hawawezi kukuacha no matter what...
 
Mi naona amefanya busara kuondoka. Mpaka kieleweke. Akikiri kwamba amezitumia basi wasubiri mpaka wapime afya zao hahahahaha! Na huyo jamaa atkua siyo mwaminifu!:confused2:

Ndoa yoyote ile inahitaji uvumilivu yeye badala ya kuondoka angebaki kwanza akahoji hayo yote na kupata ukweli pamoja na kuwa mwanaume still atakataa tu lakini anaweza kufanya uchunguzi wake yeye mwenyewe
 
Your partner is only in your possession at the time you all on the same bed, out of there, you just have a share...!
 
kuna wakati nilipokuwa na kasheshe zangu kwenye ndoa, nilikuwa nikiwaangalia watoto wangu wazuri nasema wacha nikae kae kanipa watoto watamu, yani yeye hayupo tena akilini mwangu ila wanangu....sasa na huyu cku moja atafikia huku tu.
Mie na swali Dearest...na kama huna watoto akikufanyia hivyo utaendelea kuishi nae au? manake honestly its too exhausting to live with a cheater...kama amemcheat sasa hivi atamcheat again and again and again...thats for sure..so if she goes back then she should be prepared to live in a deep shit!!! I donno how I would reaact to that but may be it depends on a person himself right? or may be some ppl worth living with them although they still give you some shit.... I donno jamani mungu hajanipa subira au sijui ndio nini... hata kama na watoto I will not take shit from any man!!! I will not sacrifice my life for anyone even my own kids!!! why should I? why should women keep on suffering for mistakes they never commit? WHY WHY WHY? :mad2:
 
kaka mie jana nilishindwa kuweka hilo jambo sawa, mana ningelibeba mie kama ninavyobebaga ya watu wengine(wakomavu) au yangu mwenyewe kwa maswali ningeyomhoji huyo mdogo wangu juu wa safari ya mumewe nadhani hii ndoa ingezidi ingeyumba na bado changa, so hapa cha kufanya ni kwenda na mdada pole pole, bado 2napenda awepo kwenye ndoa yake ukizingatia ina miezi tu, hata dadake tumeongea kiutu uzima tukasema tumshawishi tu hii leo arudi kwake mana tutamchanganyia mambo kama cc wakomavu tukilishikia bango hili jambo tutaharibu (mana kwa wakomavu hii ni rough ya mchana kweupe)...yeye tutaishia kumpa moyo na kumtuliza apoe....na kama ilivyo mume kashikia bango kwamba na yeye "anashangaa" bac ngoja tujifanye tunashangaa wote kumpa moyo mdogo wetu.

Ila statement ya mwanaume nayo imenifurahisha sana "Eti na yeye anashangaa" Ila jamaa kama ni infidelity kaicheza pata potea yaani kaamua kuja na vithibitisho nyumbani kabisa kudhihirisha kwamba infidelity took place ewe mola naomba uniepushe na hiki kitu
 
mie na swali dearest...na kama huna watoto akikufanyia hivyo utaendelea kuishi nae au? Manake honestly its too exhausting to live with a cheater...kama amemcheat sasa hivi atamcheat again and again and again...thats for sure..so if she goes back then she should be prepared to live in a deep shit!!! I donno how i would reaact to that but may be it depends on a person himself right? Or may be some ppl worth living with them although they still give you some shit.... I donno jamani mungu hajanipa subira au sijui ndio nini... Hata kama na watoto i will not take shit from any man!!! I will not sacrifice my life for anyone even my own kids!!! Why should i? Why should women keep on suffering for mistakes they never commit? Why why why? :mad2:

nimekusoma uko kikazi zaidi
 
Ndoa yoyote ile inahitaji uvumilivu yeye badala ya kuondoka angebaki kwanza akahoji hayo yote na kupata ukweli pamoja na kuwa mwanaume still atakataa tu lakini anaweza kufanya uchunguzi wake yeye mwenyewe
kwanini avumilie? uvumilivu si pando zote mbili au siku zote mwanamke ndo avumilie? mwache tuu arudi kwao; na kama ni mwanaume kweli wa kufanya nyumba na maisha basi atayatambua makosa yake na atajaribu kujirekebisha!!!
 
Mie na swali Dearest...na kama huna watoto akikufanyia hivyo utaendelea kuishi nae au? manake honestly its too exhausting to live with a cheater...kama amemcheat sasa hivi atamcheat again and again and again...thats for sure..so if she goes back then she should be prepared to live in a deep shit!!! I donno how I would reaact to that but may be it depends on a person himself right? or may be some ppl worth living with them although they still give you some shit.... I donno jamani mungu hajanipa subira au sijui ndio nini... hata kama na watoto I will not take shit from any man!!! I will not sacrifice my life for anyone even my own kids!!! why should I? why should women keep on suffering for mistakes they never commit? WHY WHY WHY? :mad2:

my dearest....hata huyu hana kid lakini ndio yanamkumba haya, halafu ni miezi michahce tumetoka kuchezea pesa zetu kwenye sendoff yake, kweli inakera....lakini hapo hapo omba tu yackukute mana hutajielewa umesamehe vipi lakini utajikuta umesamehe, hata mie nilisamehe lakini cjui nilisameheje sameheje, au labda cjui umeolewa na mtu wa namna gani unamuamini kihivyo mie hata cjui kabisa ...labda mtu yakikutokea ndio utajua cha kufanya....
 
Ila statement ya mwanaume nayo imenifurahisha sana "Eti na yeye anashangaa" Ila jamaa kama ni infidelity kaicheza pata potea yaani kaamua kuja na vithibitisho nyumbani kabisa kudhihirisha kwamba infidelity took place ewe mola naomba uniepushe na hiki kitu

unajua huyu atakuwa alikuwa na hawara huko, akamuacha apaki vitu kwenye begi akimuamini, so haya ndio yaliyotokea, sure na mwenyewe atakuwa shocked coz hakutegemea hiki kitendo, ndio hapo akachanganya habari sasa"mhudumu alipaki" katulia kajua kachemka lakini inabidi akomalie hiyo hiyo kauli.
 
Sishangai....thou nashangaa kwa kiasi flani!
sishangai kusikia mwanaume anafanya kitendo kama hicho....
sio mara ya kwanza kusikia cases kama hizo,

Lakini kinachonishangaza ni nini kile wanakosa ndani ya nyumba zao hadi wanaenda kutafuta nje....???
Walilazimishwa kuoa? baadae wakagundua interests hazikuwa zile au...???
Tell me.....wewe unaelewa hapo?

Hebu tema mate chini!!
Cheating siyo kwa wanaume tu, na kwa hiyo suala la kukosa kitu home halipo. Ni kuomba Mungu tu yasikukute endapo bado hii kitu unakutana nayo kama hadithi tu.

Ndoa yoyote ile inahitaji uvumilivu yeye badala ya kuondoka angebaki kwanza akahoji hayo yote na kupata ukweli pamoja na kuwa mwanaume still atakataa tu lakini anaweza kufanya uchunguzi wake yeye mwenyewe

Huyo dada alifanya kosa kubwa kuweka mpira kwapani wakati ndo mechi ilikuwa imeanza. Angejifanya anaanza kaundika Novel ya ukomandoo sasa hivi labda hadithi ingekuwa nyingine. Ila kwa kukimbia amempa nafasi mshikaji kuharibu ushahidi wote. Inawezekana tayari keshapiga simu Hotelini kutafuta Mhudumu wa kubeba responsibility.

Hata hivyo nimemkubali huyo dogo. Ni kichwa kweli kweli. Kapata jibu chap chpa na sasa kamwachia mkewe aendelee kuicheza hiyo drama. The guy is very smart (ni kipanga wa kutisha). Ingawa kama kaanza mapema na kupoteza network kiasi cha kubeba ushahidi, his days are just numbered.
 
unajua huyu atakuwa alikuwa na hawara huko, akamuacha apaki vitu kwenye begi akimuamini, so haya ndio yaliyotokea, sure na mwenyewe atakuwa shocked coz hakutegemea hiki kitendo, ndio hapo akachanganya habari sasa"mhudumu alipaki" katulia kajua kachemka lakini inabidi akomalie hiyo hiyo kauli.

Hilo lilikuwa kosa kubwa sana. Amejionesha asivyo makini kwenye mambo ya infidelity. Utamwamini vipi hawara? Na hizo Condom alikuwa anasubiri hawara azitupe? Kwa upande huo hayuko makini hata kidoto. Kwa hiyo hii biashara haiwezi. Mshauri dada arudi ili akamvue kirahisi kwa sababu kama hatabadilika atakuja kupata aibu kubwa muda si mrefu.
 
Huyo dada alifanya kosa kubwa kuweka mpira kwapani wakati ndo mechi ilikuwa imeanza. Angejifanya anaanza kaundika Novel ya ukomandoo sasa hivi labda hadithi ingekuwa nyingine. Ila kwa kukimbia amempa nafasi mshikaji kuharibu ushahidi wote. Inawezekana tayari keshapiga simu Hotelini kutafuta Mhudumu wa kubeba responsibility.

Hata hivyo nimemkubali huyo dogo. Ni kichwa kweli kweli. Kapata jibu chap chpa na sasa kamwachia mkewe aendelee kuicheza hiyo drama. The guy is very smart (ni kipanga wa kutisha). Ingawa kama kaanza mapema na kupoteza network kiasi cha kubeba ushahidi, his days are just numbered.[/QUOTE]

uwiiii...bac tena ckufukiria huko, kesi imeishilia hapo.
 
my dearest....hata huyu hana kid lakini ndio yanamkumba haya, halafu ni miezi michahce tumetoka kuchezea pesa zetu kwenye sendoff yake, kweli inakera....lakini hapo hapo omba tu yackukute mana hutajielewa umesamehe vipi lakini utajikuta umesamehe, hata mie nilisamehe lakini cjui nilisameheje sameheje, au labda cjui umeolewa na mtu wa namna gani unamuamini kihivyo mie hata cjui kabisa ...labda mtu yakikutokea ndio utajua cha kufanya....
Yaani hana haya hata kidogo? watu wengine jamani hata ku-enjoy maisha hawajui, mie sioni kitu gani kimemfanya akatafute mwanamke nje!! na kwanini alioa at the first place? :confused2:
nimekupata dearest... labda mme wako anakuuma halafu anakupuliza...:smile-big: plus for a kind of woman you are I wouldn't worry cos I know u can give back shit too... the only thing bothers me is when women are taken for granted and they keep on tolerating..:confused2:

kwenye bold up there...may be I am totally unaware of his affair...
 
unajua kuna majitu mengine cheating yamefanya kitu cha kawaida tu kwa hiyo halioni hofu wala mashaka kumsaliti mme /mke lenyewe linaona sawa tu
 
Yaani hana haya hata kidogo? watu wengine jamani hata ku-enjoy maisha hawajui, mie sioni kitu gani kimemfanya akatafute mwanamke nje!! na kwanini alioa at the first place? :confused2:
nimekupata dearest... labda mme wako anakuuma halafu anakupuliza...:smile-big: plus for a kind of woman you are I wouldn't worry cos I know u can give back shit too... the only thing bothers me is when women are taken for granted and they keep on tolerating..:confused2:

kwenye bold up there...may be I am totally unaware of his affair...

haa aliijaribu lakini kwasasa haipo tena,sasa hivi anajua kabisa akijaribu nikambamba huo ndio utakuwa mwisho wetu, red ..my dearest, huwa cjui kinatokea nini jamani, cjui tuna udhaifu gani kwa kweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom