Hata mimi nashangaa

mambo yanaenda kama filamu ya kihindi vile, jana mdada karud ikwa mume lakini kacctiza kwamba akili yake bado ipo pale pale, na hajui kama atampa unyumba mpaka cku atakapofanikiwa kuilengesha kwa mwingine yeye ndio aje aendelee, wanaume wakati mwingine bwana mnakitakiaga matatizo, sasa huyu akili yake imemuhama kabisa, haambiwi wala ashauriki.

Nyamayao kama nilivyokwambia huyo ndugu yako inabidi umpeleke akafanyiwe counseling vinginevyo atafanya mambo hadi nyie wengine mtashangaa na kubaki midomo wazi sasa hiyo nyumba sijui kama kuna binadamu wanaishi maana naona ni mwendo wa MWAGA MBOGA mimi NAMWAGA UGALI
 
usiape...hata mie naona tayari ndoa imesharafiki kitambo, kuizika ni cku yakija kujulikana yaliypo mawazoni kwa mdada...lakini kuna watu wanajua ku revenge wallaah, hii kitu mie icngenijia akilini kabisa, huyu mdada kama atafanya kweli kwa anacho plan kufanya cku ya cku yakajulikana huyu mkaka atafariki haki ya nani.
Nini cha kumuua hapo? mbona kawaida tu? Kwani alimkuta bikira?
 
usiape...hata mie naona tayari ndoa imesharafiki kitambo, kuizika ni cku yakija kujulikana yaliypo mawazoni kwa mdada...lakini kuna watu wanajua ku revenge wallaah, hii kitu mie icngenijia akilini kabisa, huyu mdada kama atafanya kweli kwa anacho plan kufanya cku ya cku yakajulikana huyu mkaka atafariki haki ya nani.

Hapo ndoa bado ipo Nyamayao, hayo ni matokeo tu ya ndoa!na bado mbona watashuhudia mengi tu kama mungu akiwajaalia miaka mingi ya kuishi!
 
hata kama mwanzo mgumu basi huu mwanzo wa ndoa yao ni kiboko sijui niite nini,
Ndoa za siku hizi bwana asubuhi vifijo na nderemo jioni balaa na ngumi juu..Mungu niepushe na kikombe hiki.
 
Phew!!!! Hapo ndio nimechoka kabisa dah sijui ataenda kuilengesha kwa mwanaume gani duh NDOA NDOANO kweli omba uyasikie tu watu wanayaongea.

mume hapa anampokea mke wa shangwe zote akifurahia kusamehewa, laiti angejua lililopo moyoni kwa mwenzie.....lakini na nyie mkomage kabisa, mengine mnajitakia, huyu ndio ataishia kulea wa wenzie kama mke akifanya kweli.
 
Nini cha kumuua hapo? mbona kawaida tu? Kwani alimkuta bikira?

labda wewe, unalea mimba, unalea mtoto anafikisha 5 yrs unakuja kujua sio wako, wewe kama roho yako ya jiwe ni yako khaa, cha kawaida hiki?
 
dada ana haki ya kuondoka uciku huohuo.... ameolewa na mzinzi sio mume
 
mume hapa anampokea mke wa shangwe zote akifurahia kusamehewa, laiti angejua lililopo moyoni kwa mwenzie.....lakini na nyie mkomage kabisa, mengine mnajitakia, huyu ndio ataishia kulea wa wenzie kama mke akifanya kweli.

Duh!!!! Hapo mwanaume anachezeshwa kiduku tu hata hajui kinachoendelea ishu iko kwenye unyumba sijui atapewa au ndio kwishnei kama alivyosema mwanamke kuwa lazima amlengeshee jamaa mwingine kwanza halafu na yeye ndio ataendelea.
 
Mshauri mwenzio arudi aendelee kupika na kugangamaa.
Mama zetu zamani walikuwa wanavumilia baba anaweza alale nje kwa mwanamke nyumba ya 3 hata wiki anaamka na kuchapa lapa kazini jioni anarudi kabeba nyama anaishia hapo hapo nyumba ya 3 mpaka wiki akisha mkifu ndo anakumbuka familia anarudi nyumbani na mama anampokea kwa mikono miwili uigeni mioyo ya mama zetu wa zamani uvumilivu, wanawake wa kisasa bana ndo maana mm nasita sita kutangaza nia hivi hivi maana uvumilivu ni sifuli.

Mmh ndugu, kama ndio unapenda mwanamke mvumilivu wa jinsi hii, basi nia yako itachelewa sana kutangazwa, coz kwa sasa wamebaki wachache. Kilichotuongezea ujasiri ni angalau kuwa na uezo kidogo wa kununua maharage na unga wa ugali, ili kama yakishindikana basi ukijitoa hutakosa mlo mezani. Hebu usinikumbushe hii biashara ya akina mama zetu na kuipa term ya uvumilivu, that was torture. Sisi level ya sasa ni angalau kuwa na ubavu wa kuulizia hayo madudu ya mheshimiwa na kuweza ku-set some rules in the house, kuwa angalau hiki na hiki sikipendi. Wazazi wetu walitawaliwa na ukimya tu, hata afanyiwe nini hatarudisha hata swali kwa kuamini kuwa kile ndio stahili yake. Na kwa sasa, huyo bwana akinikoroga ahame yeye, mie sihami bwana, hasa niende wapi saa hizi saa 12 jioni?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom