Hata kwenu wapo hawa?????

Nachukia mnaenda dinner, mtu anakung'ang'ania ujaribu kuonja a piece of sushi/sushimi wakati anajua mimi kamwe sipendi sushi/sushimi. Unaulizwa mara kadhaa kama utapenda ku-taste a piece of it. Unakataa. Unaangalia pembeni na unageuka unakutana na sushi mdomoni......I hate that. Kama sipendi nimeshasema sipendi
 
I don't do weave or any fake hair,bt mkorogo is beyond NN! Kwanza inatia kinyaa,weave inaweza isivutie tu,lol
Afu uswahili ni kama ww. Kinyume chake ni kama lizzy,hope umeelewa sasa eeh?

Kwanza kama kweli huweki hayo manywele bandia basi chukua hongera! Napenda sana wadada wanaojikubali jinsi walivyo na hawaoni sababu ya kushonewa manywele bandia ili wafanane na wazungu.

Unakuta mdada kaweka hiyo minywele hadi bangs kaweka! Teh teh...basi akipigwa na upepo kidogo tu anaanza kuziweka sawa hizo kafaulaya kama wadada wa kizungu wafanyavyo!

Penda sana mimi au naturale nubian sisters!
 
mtu anakuomba peni,halafu moja kwa moja anaipeleka mdomoni....na kuondoa kizibo kwa mdomo...
akimaliza anakurudishia....lol

I hate it yaani... kama vile umeniona.... Au mtu anaku beep.... Ukimpigia anakuuliza wewe ni nani.... Ama kutopokea kabisa.. Au anakubeep ukimpigia anasema "nilikumiss" nilitaka kukusalim.... Na hizi taarifu zilivoshuka hivi mtu anabeep???
 
Nachukia mnaenda dinner, mtu anakung'ang'ania ujaribu kuonja a piece of sushi/sushimi wakati anajua mimi kamwe sipendi sushi/sushimi. Unaulizwa mara kadhaa kama utapenda ku-taste a piece of it. Unakataa. Unaangalia pembeni na unageuka unakutana na sushi mdomoni......I hate that. Kama sipendi nimeshasema sipendi

umenikumbusha utotoni mnaambiwa huku tunapokwenda
mkikaribishwa kula mkatae...mseme mmeshiba....
mkifika mkiona wali maharage au pilau...mkikaribishwa hamjibu kitu
mnamtazama mama kwa kutia huruma hivi....lol
mwisho utasikia haya kuleni lol
 
I hate it yaani... kama vile umeniona.... Au mtu anaku beep.... Ukimpigia anakuuliza wewe ni nani.... Ama kutopokea kabisa.. Au anakubeep ukimpigia anasema "nilikumiss" nilitaka kukusalim.... Na hizi taarifu zilivoshuka hivi mtu anabeep???

mtu ana ku beep ,unampigia...anakwambia nitumie vocha..
unamtumia....halafu ana ku beep tena...unajiuliza kuna nini tena,unampigia..
anakwambia asante kwa vocha....lol
 
Nachukia mnaenda dinner, mtu anakung'ang'ania ujaribu kuonja a piece of sushi/sushimi wakati anajua mimi kamwe sipendi sushi/sushimi. Unaulizwa mara kadhaa kama utapenda ku-taste a piece of it. Unakataa. Unaangalia pembeni na unageuka unakutana na sushi mdomoni......I hate that. Kama sipendi nimeshasema sipendi
Nimecheka sana...so,you don't eat sushi? :lol:
Haya bwana...
 
Coming from u? At least a "thank u" replaces shooting,lol! Ila bora wigi la masanja kuliko mkorogo bana! Siku hizi ni kafa brazil,kuna biashara za real hair kwa black market,it is disgusting!
Kwanza kama kweli huweki hayo manywele bandia basi chukua hongera! Napenda sana wadada wanaojikubali jinsi walivyo na hawaoni sababu ya kushonewa manywele bandia ili wafanane na wazungu.

Unakuta mdada kaweka hiyo minywele hadi bangs kaweka! Teh teh...basi akipigwa na upepo kidogo tu anaanza kuziweka sawa hizo kafaulaya kama wadada wa kizungu wafanyavyo!

Penda sana mimi au naturale nubian sisters!
 
Au mtu una roll-on deodorant yako na una mazoea ya kuiweka kwenye bathroom counter top halafu anakuja mgeni siku moja anaitumia halafu anaacha kiunywele chake.

Ndiyo maana situmiagi tena hizo roll-ons.
 
au mtu anakuja analia kaibiwa..pesa..unamuuliza umeibiwa wapi?
anajibu kwenye daladala...,shilingi ngapi...milioni mbili labda...
na gharama ya taxi haifiki hata elfu kumi....unamwambia tu pole sana aisee lol
 
Au mtu una roll-on deodorant yako na una mazoea ya kuiweka kwenye bathroom counter top halafu anakuja mgeni siku moja anaitumia halafu anaacha kiunywele chake.

Ndiyo maana situmiagi tena hizo roll-ons.

nimecheka peke yangu aisee lol...
wengine anatoka bafuni,unaingia unakuta mswaki wako kama umetumika hivi..
na mtu mwenyewe anaonekana mstaarabu hivi....unabaki huamini lol
 
Hata sabuni tablet,unakuta nywele unajihoji ya wapi hii!shower gel is way better if possible,lol. Kuna mijitu akikuta face towel anatumia tu! Ndo uswahili sasa huo!

Back
Top Bottom