Hata kukopi Kalenda pia issue?

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
image002.png
Tanganyika Law Societyu mpo yaani hata kucopy calendar inakuwa issue? Kalenda halisi ya July yatakiwa kuwa na tarehe kama ifuatavyo,

07_July_2010_Calendar_Image.png
 
imekuwaje mkuu...mbona nashindwa kung'amua tatizo

Iangalie Kalenda yao kwenye hichi kipererushi cha TLS then compare na Kalenda halisi ya mwezi jana yaana July 2010, je tarehe ziko sahihi??

attachment.php


Kalenda halisi ya JULY 2010 hii hapa dadangu Preta,

july-2010.jpg
 
Printer ndo kawaingiza mjini. Si rahisi mtu kung'amua ghafla kuwa imekosewa baada ya kupokea copi walizoorder.
 
Back
Top Bottom