Elections 2010 Hata kizazi kijacho nacho kitapenda CCM

Kanyafu Nkanwa

JF-Expert Member
Jul 8, 2010
849
103
10_10_n06h4k.jpg
 
Sintashangaa maana ni matunda ya shule za kuchakachua elimu aka shule za kata
Unategemea nini? Wamekuja na wazazi wao kutafuta T-shirt, kofia, khanga na vilemba vya bure. Na bahasha za Sh.2,000/= zikitembezwa nyumba kwa nyumba unategemea nini kutoka kwa walalahoi?
 
Back
Top Bottom