Hata kama ni mtuhumiwa ana haki zake.

jchofachogenda

JF-Expert Member
Jan 8, 2012
537
123
Fuateni utaratibu wa kazi yenu,hata kama ni mtuhumiwa ana haki zake.Upelekaji wa aina hii haukubaliki hata kwa wanyama sembuse binadamu mwenzenu.
 

Attachments

  • 058.JPG
    058.JPG
    16.4 KB · Views: 175
Maaskari wengi bado hawazingatii haki za watuhumiwa wakijiaminisha kuwa raia ni mahamuma wa sheria. Ndiyo maana utawakuta wakiwatesa,kuwapiga hata kuwadhalilisha kama hivyo,itabidi waheshimu haki ya watuhumiwa bila kuangalia maslahi binafsi.
 
Bora hiyo kuliko ile Tanganyika jeki anatembelea kucha
 
watanzania hamna jema kama kakataa kuondoka wamfanyaje wakimuacha tunasema wale nyanya tu kunawatu watata jamani au toeni pendekezo akikataa wafanye vp?
 
Policemen wa kibongo ni wanyanyasaji sana, si amtie pingu tu fujo atazifanya vipi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom