Hata kama ni mtangazaji wa udaku, this is too much soudy brown

Hiii comment imenichekesha sana....
uploadfromtaptalk1455354120152.png


cc Evelyn Salt
 
Rire RINEY RA MITEGO NI RITABIRI MURA....bado next itakuwa ya FID Q a.k.a Ngosha
 
Soudy brown kwenye instagram yake kapost picha ya wema kaandika "pole dada wema sepetu, mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu akupe moyo wa uvumilivu pia ili utoke hospitali ukiwa salama, inshallah kazi yake Mola haina makosa"
Kisha akaweka na hashtag #INASEMEKANAETI
#INASEMEKANAETI muvi mpya ipo mbioni kutoka, kaeni mkao wa kula kwani itateka na kukonga nyoyo za wapenzi wa bongo movies...
 
Hii mimba imeshakuwa kero kwenye mitandao, ukifungua huku mimba ya Wema, ukienda home mimba ya Wema, ofisini wadada mimba ya Wema.

Wengine anayo wengine hana, automatically unajikuta umeguswa aisee.
Mimba ya wema ni gumzo kuliko hata marudio ya uchaguz zanzibar
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom