...hahahahahahahahahaHata wewe una kazi sana tena we ndo una kazi kubwa
Ha ha ha ha ha tubeless lolDaa Wema bas ni pancha ya tubeless maana wazibaji wote wameshindwa
Ha ha ha ha ha tubeless lol
Saa saba imeshapita, vipi XXL?
Mazee na wewe kumbe unafuatilia eeh?
Hii mimba imeshakuwa kero kwenye mitandao, ukifungua huku mimba ya Wema, ukienda home mimba ya Wema, ofisini wadada mimba ya Wema.
Wengine anayo wengine hana, automatically unajikuta umeguswa aisee.
Yeah naona imekuwa kivutio cha ajabu kweli!
Si ufungue? Mie nnazo kama kumi anaenoblock anajisumbua tu make ntamfollow tena ha ha ha
Duh!kumi?hawezi kukaba zote inakuwa kama bahari wakikaba dar unapitia bwagamoyo.Si ufungue? Mie nnazo kama kumi anaenoblock anajisumbua tu make ntamfollow tena ha ha ha
..............huu ni uongo! wema hajawahi kuwa na mimba! ni mtu wa kutafta kick ili watu wapay attention on her!, nimewatonya hiyo, COOKED!!! STAY TUNED! KWA UBUYUUU!...
Wema hakuwa na mimba,Na yeye ndo anachonga atokeje msilaumu mwandishi.
Ya idris! hakuna mimba pale! time will tell hah!
Kweli jf upande wa picha unazngua hasa kwa sisi wa tumiaji wa appUngetoa maelezo kidogo mumy as unajua JF inazingua sasa hivi kwenye suala la picha.
Mimi mwenyewe sijawah kumuamini wema, yani huyu dada ni muongo jaman shetani anasubir, halafu linaona sifa mbwa hili mxieeeMy dia, hivi Ni Kweli unaamini huyu Dada alikua mjamzito?? Mimi sijawahi kuamini hivyo,
ahaha pole sana endelea kujipa moyo, hakuna cha mimba wala mamba, mshaingizwa chaka, yani wem anawafanya mashabiki wake kama matahiraMimi nasema Wema ana mimba, aliitafuta kwa shida sana aje awalipizie wabaya wake na haijatoka.
Haiwezi kutoka kabla zamu ya mtaa wetu haijafika kugusa tumbo la Malkia Sultan.
Naanzaje kuacha binamu? siku ukiona nipo kimya basi ujue nime rest in peaceHaaahaa Binamu hujaacha umbea tu , nilikuwa out of JF kwa muda ila kuna umbea wa watu niliumiss.