Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,097
Cheki makazi ''holela'' yalivyopangika
Kabul hamna mti hata mmoja?
Kule mvua huja baada ya miaka kumi......miti itastawi kweli?
Cheki makazi ''holela'' yalivyopangika
Kuliko hiyo KABUL yako na MAPENZI ya MIPANGO MJI... NENDA huko tutabaki hapa na Ugwagwaga wetu lakini ni bora
Zaidi ya hilo VUMBI na TAKATAKA hapo CHINI hakuna Maji ni Jangwa...
Mkuu haya yanatoka kwako kweli?