Hata Fisi na Mbwa

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
GreatThinkers,
Hivi umewahi kuona wapi,Swala apewe madaraka mwituni aongoze Fisi na Mbwa mwitu?
Kwa jinsi alivyo mpole lazima atadharaulika, hawezi kuwachapa na mwisho atalia mwenyewe.
Hakika Swala hastahili kuwa kiranja mwituni maana hawezi simamia maadili ya mwitu wapo Fisi wabishi ile mbaya.

Kwa maoni yangu hakika aliyeamua Swala awe Kiranja Mwituni naye wala hafai,Mwituni sasa hakukaliki.
 
Back
Top Bottom