[h=3]
S1475 PERFECT VISION SECONDARY SCHOOL DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 2 DIV-IV = 39 FLD = 97 [/h]
imenisikitisha sana kuona hata wasomi tunaowategemea nao wanaanzisha shule na kutoza miada mikubwa mikubwa halafu hawalipi walimu vizuri na au wanatafuta walimu wasio na sifa na matokeo ndo haya...!!!!! hebu imagine watoto 97 wamekuwa wakilipiwa ada za zaidi ya millioni halafu wanapata zero. Na Kadeghe anahusika moja kwa moja kwa kuwa anakuwepo muda mwingi hapo shuleni na bado matokeo ndo haya. ...na alichoniboa zaidi ni kwamba alipozikusanya za kutosha mwaka jana akaenda kwao SAME kugombea ubunge kupitia magamba,wakachakachuana huko na akaukosa akarudi kukamua wanafunzi kama kawa na matokeo ndo haya.
ni afadhali za kata watu wanalipa 20,000 lakini hizi IMPERFECT na ST Mariaz miyeyusho kweli..taifa limekabidhiwa kwa ngedere tuombe Mungu tufike salama.