Hata CCM wanatushangaa

Dik

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,204
416
Viongozi wengi wa ccm akiwep jk na wapiga makofi na vigelegele bungeni(a.k.a wazee wa ndioooo!)walitegemea 2ngekuwa 2meshawakimbiza kwa mawe kwa vtendo vyao wanavyotenda lkn sivyo.
 
Sasa si uwaze wewe mkuu kuwafurusha kwa mawe, sisi tutakuunga mkono...au unarusha mawe kwenye keyboard?
 
Tatizo la mtoa mada ni IQ ndogo aliyonayo pamoja na kusoma shule ya kata
 
Back
Top Bottom