Hassan Othman Hassanoo mikononi mwa polisi

Invisible, the Hassanoo I know used to be a wise guy, and he's smart.
Anafanya biashara ya 'scraps' - metal, plastics ect.
Traed on this information kabla hatujaambiwa JF wambeya.
Behind the Scene: Huyu jamaa kwao ni Magomeni mtaa wa Idrissa, lakini usiku kucha yuko KKoo au kwenye yard zake za vyuma chakavu and alwyas has his silenced pistol on a ready.

Na huko kwenye scrap hana historia nzuri sana. Miaka ya nyuma mabomu yalikutwa kwenye yadi yake baada ya moja kuua. Habari hii iko humu humu JF
https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/1152-bomu-la-mkono-lalipuka-na-kuua.html
 
sasa jioni leo k - shop kutakuwa na huzuni toka kwa wale friends of simba

30670_627861285820_202901040_37266147_3712815_s.jpg


mkandara na halisi mna lakusema?

Mie nishashiba maposho s=posho ya iddi sidhani kama wataniona mpaka next week

mbona mnapenda kudandia mambo msiyoyajua nyinyi?aliekwambia kt shop ni kijiwe cha friends of simba nani?au kwa kuwa yeye hassanoo member pale na kwa kuwa ni mtu wa friends of simba basi kijiwe chote ni friends,mbona davis mosha na mzee ally bwamkuu yanga na wote ni member pale?kina mh.athuman mfutakamba,jerry slaa,katibu mkuuwa nccr mageuzi sam ruhuza,mh.dr.faustine ndugulile mbunge wa kigamboni,alex massawe wa a.m. Investment,wote ni friends of simba?????sio kweli friends of simba ni huyo hassanoo peke yake pale,wengine ni mchanganyiko wa wafanya biashara wanasiasa,madoctor,Wanasheri,watu wa mjini n.k.palae ni kama saigon tu,ni club ya wazi kwa yeyote ndio mana simba utawakuta,ccm utawakuta,yanga utawakuta,nccr,chadema na taasisi nyingine,msiipake matope kt yetu tafadhali haina chama wala dini!
 
Mkuu umeshasema wezi wakubwa kwani hujui sheria za nchi hii zina deal na wezi wadogo tu??...
Mwizi ni mwizi tu hakuna mkubwa wala mdogo kwa kuwa mwizi wa vitu vidogo maadam ana hulka ya wizi hata akipata kitu kikubwa ataiba tu so nirahisi sana kwake ku advance kutoka mwizi mdogo kwenda mkubwam, what I mean here ni kwamba wezi wote washugulikiwe kwa mujibu wa sheria zilizopo bila kuanza kuwaonea huruma wezi kwa kisingizio kuwa huyu ni mwizi mdogo!!
 
wakimaliza hapo wacheki na wezi wakubwa zaidi yao

Hongereni jeshi la polisi

Kwani yule mmiliki wa Mabasi ya Nachingwea, Masasi, Lindi Dar na Petro Station pale Nachingwea si aliwahi kukamatwa na Full Load ya Nyara za Serikali akawatajirisha Matrafiki..issue ikaisha kimya kimya! Hawa Polisi vigeu geu tu hasa kama tajiri akibana au wakishinikizwa na 'wakubwa' basi wanajitutumua lakini hakuna kitu hapo..Polisi nao wanafiki tu hao!
 
Invisible, the Hassanoo I know used to be a wise guy, and he's smart.
Anafanya biashara ya 'scraps' - metal, plastics ect.
Traed on this information kabla hatujaambiwa JF wambeya.
Behind the Scene: Huyu jamaa kwao ni Magomeni mtaa wa Idrissa, lakini usiku kucha yuko KKoo au kwenye yard zake za vyuma chakavu and alwyas has his silenced pistol on a ready.
Wambandwa, hope unamjua mtu huyu vizuri sana, kwa jinsi ulivyojieza hapo juu kwenye post yako. Kama anafanya kazi usiku kucha, una uhakika hakuna mazabe ndani yake? Kazi za usiku zinajulikana (hasa unapozungumzia silencer pistol), nadhani kazi yake unaijua vema. Lakini pia, yard nyingi za vyuma chakavu zina mambo mengi, wengine walishakutwa na mabomu ambayo waliita chuma chakavu, mataruma, alama za barabarani, vipande vya madaraja n.k, sasa usitetee sana suala la yeye kukutwa na shaba, huenda nayo ni 'Chuma Chakavu' Acha polisi wafanye kazi yao, huenda wakakuta 'chuma chakavu' zaidi ya ujuavyo!

du?? huyo pembeni siyo mzee Lundenga? na hawa mamiss?
..Ni Lundenga, uko sahihi kabisa. Kazi ya mamiss inajulikana sana, hasa mida iliyo katika bold hapo juu.

Chuma chakavu kimeanzia wapi na kuishia wapi? Hakuna kipimo .......... mataruma ya reli, mabaki ya magari ya wizi, mifuniko ya karo na hata hiyo shaba inachanganywa kwenye 'chuma chakavu'.

Hivi mfanya biashara hana hata TIN lakini ni multi millionnaire, na anaishi maisha ya kifahari ukilinganisha na kipato chake. Kama sio wizi au ujambazi ni nini?
Now you are talking. Kila siku tunalia kwamba alama za barabarani zinaibwa kwa sababu ya chuma chakavu, kingo za madaraja zinaibwa, nyaya za umeme na mawasiliano zinakatwa, yaani it is a total mess in here! Nashangaa hata hao wanaotetea wauzaji wa chuma chakavu.
Halafu na ile kazi haramu mnayoifanya pale Sinza nyuma ya Mugabe kuna siku kitanuka, we are keeping a watchful eye on that keenly.
Quote me on that.
 
hii nchi jamani,wahindi sehemu zote,kweli wametuweza wabongo,hatufurukuti!
 
Nyie pondeni tu watu wanapiga dili sijui mnaona kitu cha mchezo mtu kwenye ac kuwa na B na kuendelea bila dili za mana ndio mwanaume sio kuwa mwema mwisho wa mwaka ac kuna laki moja kumi na sita elfu na mia nane hamsini na senti tano. Si ungese huo na kila siku unaamka saa kumi na moja alfaji so kumponda sio issue.
 
Haya naona makubwa,

Kuna tetesi pia Diwani wa Cuf - Kibada, Kigamboni nae Mbaroni kwa ujambazi hebu kwa wenye taarifa tupeni uthibitisho kama hizi habari ni za ukweli maana sasa hawa viongozi wetu wanaanza kutia shaka.
 
Duh! huu waya una ajenda gani mbona ni wa zamani na jamaa alishapanda kizimbani na akasota sana segerea? Kimsingi waya huu hauna jipya.
 
Back
Top Bottom