Hasira zimenipanda nilivyoangalia hii

hivi ukinikuta nimejitahidi kwa style zangu nikahaso kivyangu siku ukinikuta nimefanikiwa unaumia kisa wewe hujafanikiwa??????????????????????
mbona tunakuwa na wivu za ajabu ajabu?
tafuta na wewe ule bata!!!!!!!!!!!

by the way, kila mtu aznatafuta kwa ajili yake si kwa ajili ya mwingine au taifa................. lol!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom