Hasira za Wazanzibar kuchoshwa na Muungano

the earlier the better-wazenji waondoke hata kesho
tanganyika ina rasilimali nyingi sana-tukijipanga tunatoka-kama wanadai wana mafuta-hatuyataki-sijaona faida yoyote ya kuungana na zanzibar-natamani aje kiongoz then avunje huu umoja-nitamshukuru sana

Ndiyo Broo na kule kwetu tuna msemo " kwenye miti hakuna wajenzi". Bahati yote mlionayo bado mnakufa na njaa na mnagombania mali hizo kama mafisi (mafisadi)
 
Ati Zenj ya watu milioni 1 wana hasira na Tanganyika ya watu milioni 40, hasira ya mbu mbele ya tembo!!!!
Abdusalhaf unashauriwa kuambaaa!!

Kama una busara ungefikiria kiroboto anaesababisha funza kidoleni na mwili wa binaadamu. Tatizo lako kuwa hu mtu wa kutafakari. Mbona hiyo Zanzibar na udogo wake imewastaarabisha na kukufanyeni mfanye hata yale ambayo mkiyaona kuwa msingefanya.
 
Na kidatu,mtera,Hale n.k viko zanzibar? waulize!

Kwani kuwa navyo hivyo nin nini??? mbona malalamiko na vidole machoni. Hamna hata kimoja mnachoweza kukitumia kwa faida yenu, madini wazungu wanafaidi, Ardhi Wakenya wanaivizia, Rasilimali ya misitu na wanyama wanaofaidi Waarabu na Wazungu na rasilimali ya watu 40 millioni ni mapambano ya siasa na dini.
 
Tatizo lenu, mnafikiri labda wabara ndio tunapenda saana huo muungano.
Nyie kama mmechoka tumieni mbinu zote kuvunja.
Go, go, go! You'll not be missed!

Kwani hamuutaki?? Hebu sema ukweli broo usisutwe na nafsi. Ama kwa wakubwa wako wanautaka na wanaupapatikia, si unamuona TUNDU LISSU anavyofoka eti Zanzibar imejitangazia kuwa nchi. Wacheni uongo Muungano mnauona kama Biblia.
 
Written by Nassor20 // 22/03/2011 // Habari // No comments

Chaumuhimu hivi sasa nahisi Wazanzibar niku jipanga kwa kuvunja Muungano moja kwa moja bila kuoneleana haya wakati huku tuna sono neka na kumia,kuna hatari ya kuja kuwaambukiza machaka kizazi shetu kama hatukuwa smart kwa hili.
Mimi na hisi kusema tujipange kwa hoja ili ikija tume ya masuala ya katiba tutakuwa na lakusema hii ni wrong,Hata tujipange vipi? na tupambe vipi katiba ya Muungano mwicho itakuwa ni kuji- (Commit suicide) wenyewe Wzanzibar, wenzetu hawasikii wana lao lengo na lengo kubwa moja niku itawala Zanzibar kwa vigezo vya wao wengi na wana nchi kubwa hizo ndio kelele zao siku zote na tumewasikia sana wakisema hatuto kuwa sawa kwa vile nyie ni watu musio fika hata mkoa mmoja wa Tanganyika.
Sasa Wzanzibar tuna subiri nini kama sikumezwa na tukafa foroho?. Sisi kujipanga na kuisubiri katiba ya Muungano mimi nahisi ni kusubiri matatizo mengine yakujitakia wenyewe, itatusaidia nini katiba ya Tanzania sisi ikiwa hio Tanganyika yenyewe ambayo ndio mwenyeji wa Zanzibar na mshirika wa Muungano imecha jitowa? sisi vipi tukubali kudanganywa na kujinasicha wenyewe kwenye urimbo wa Tanzania.
Tizama mtego tulio tegwa Wzanzibar ? Power yote ya nguvu za nchi wanzao wao sisi tulicho pewa ni kukamata isabu hewa yani Utaskia Zanzibar ina Raisi lakini kwa Bara haheshimiki na ni waziri asio na wizara malum? wao husema Wzanzibar wana kila kitu chakujitambulicha kuwa nchi? Sisi hatuna nchi lakini Wenzetu Serekali tatu hawataki,kujita Watanganyika hawataki,kujadili Tanganyika yao hawataki, lakini mambo yote muhimu na yanguvu za nchi wameyakalia wao na kuyatumia wao.
Jee kuna haja gani yakufaa jaa wakati Almasi unayo ndani umeifanya Pambo? nilazima Wzanzibar tuchangamkie umuhimu wa nguvu hizo tulizo nazo kuweza kujiokoa(kura ya maoni) bila ya hivyo tutamezwa,huu siwo wakati tena wa kuyafisha marazi yenye kutumaliza. Mungu ibariki Zanzibar na Wzanzibar wote.
 
Kama una busara ungefikiria kiroboto anaesababisha funza kidoleni na mwili wa binaadamu. Tatizo lako kuwa hu mtu wa kutafakari. Mbona hiyo Zanzibar na udogo wake imewastaarabisha na kukufanyeni mfanye hata yale ambayo mkiyaona kuwa msingefanya.

Ustaarabu gani huo unao uzungumzia? Wamanga ndiyo walikuwa wa kwanza duniani kuingiza wazo la kutumia vyoo kwa haja ndogo na kubwa? Au labda kutawaza kwa maji baada ya kutoa ushuzi na kwenda haja kubwa kwa Waislamu? Anyway, inakuwaje Toilet-paper bado ina soko kubwa Visiwani, achilia mbali tabia ya kukojoa na kunya uchochoroni ?
 
Kwani hamuutaki?? Hebu sema ukweli broo usisutwe na nafsi. Ama kwa wakubwa wako wanautaka na wanaupapatikia, si unamuona TUNDU LISSU anavyofoka eti Zanzibar imejitangazia kuwa nchi. Wacheni uongo Muungano mnauona kama Biblia.

Wanasiasa wanajua wenyewe na ubishani wao. Lakini sisi raia wa kawaida hatuoni manufaa yake kama ambavyo raia wa kawaida wa Zanzibar hawaoni manufaa yake.
Hatuna tatizo sana na muungano kama kusingekuwa na malalamiko ya kila siku, lakini upande wenu ndio kelele nyingi. Ndio maana tunawaambia ondokeni tu.

Najua mnataka sana kuuvunja, mmeshindwa ila mnataka tuwasaidie kuvunja. Na mlivyo walalamishi, hata tukiwasaidia kuvunja bado mtatulaumu tena kwamba undugu/ushirikiano wetu haukuwa wa dhati.

Aku! vunjeni wenyewe!
 
Ni vizuri tukajua makabila yaliyopo zanzibar ambayo yanasema hawataki muungano maana isije ikaonekana baada ya kuvunja muungano mkaanza kufukuzana huko toka wewe ni myao, mmatumbi, mndegereko, mnyakyusa, mmakonde, mngazija!!
 
Analogy yako haina mshiko. Southern Sudan has been at war with Northern Sudan since the 1950's. Tanganyika and Zanzibar on the other hand have never been at war. Tafuta analogy nyingine.
 
Zanzibar haina jeshi kutokana tumetawaliwa kimabavu,tukiangalia katika history kivipi tumeungana na tanganyika,ni kwamba baada ya mapinduzi zanzibar nyerere alileta wanajeshi mia tatu,kuja kulinda urais wake karume,sasa nyerere alichofanya kumshawishi kwarume kuwa wazinganishe nchi au ataondowa wanajeshi wake zanzibar,hapo karime alihofia kuja wahafidhina wengine kuja kumpindua.

Pia karume hakusoma,nyerere kasoma,kwa hiyo alimpiku kwa kutumia mbinu,sasa mbinu alotumia,kuwa tumeungana kijeshi kuwa jeshi litakuwa la muungano,na mengine mengi katika katiba hiyo ambayo ilikuwa na mabo 11 ya muungano,lakini tukiangalia muungano huu ulikuwa ni wa miaka kumi tu,sasa siku zilivyokwenda kukawa na mtafaruku baina ya nyerere na karume,wakawa hawaelewani,baada ya hapo kulifnyika njama zaidi ili kumuuwa karume,na badala ya kufa ya karume hakupitiwa tena mkataba wa muungano,na karume alikufa kabla ya mika kumi kutimia,so tumejikuta kuwa muungano haukuwa sahili,pia zanzibar ikamezwa kwa kijeshi.

ndio ukaona kila baada ya uchaguzi tunalazimishwa na tunaekewa raisi kutoka ccm ambae watanganyika wanae muhitaji,,ili kumtumilia, mistake ilifanyika hapoo,hivi sasa hatuwezi kuunda jeshi hadi pale katiba itakapofanyiwa marekebisha baadhi ya mabo ya mamlaka ya zanzbar yarudishwe moja ni jeshi na mambo ya njee kimataifa,ili zanzibar iwe kama taifa huru lenye kujitengemea japokuwa kuna muungano.
wacha uzandiki karume aliuawa sababu alikuwa kitombi wa wake za watu na alishafumaniwa alikuwa mzinzi wa kutisha na aliye rithi madhambi yake ni amani kugeuka mrevi mbwa ahmada
 
Kwanini wasifunge virago waondoke, aanze Mzee Mwinyi na Watoto wake, then wafuate Wapemba wote wafunge maduka yao na Majini yao waondoke wafanye kwa vitendo na kwanini CCM haioni kuwa hawa ndio wana hatarisha amani na siyo CDM?? CCM has dead? if yes, When? if not, why this? if not sure, why not sign?

Mzee Mwinyi ni mtanganyika wa Mkuranga na anaweza kukuthibitishia hilo kwa kukuonyesha ukoo wake wote uliopo Tanganyika. Sihani kama anaweza kufanya hivyo kwa upande wa Zanzibar.
 
....i am fed-up with you Zanzibaris...too vocal!! tena sad enough mnatekeleza kuuvunja muungano kwa vitendo huku visiwani kwa jinsi mnavyowanyanyasa wabara especial walio wakristo!! mtaondoka lini??? i wish muondoke kesho!!! kisha nyanya, sembe, vitunguu, umeme muwe mna-import toka bara. tena natamani tuwawekee kodi kubwa sana kwenye bidhaa zetu!! #^#%$#$ zenu nyie!!
 
Ndiyo kila siku tunasema hawa chadema wnakurupuka na viajenda vya kipuuzi puuuzi tu, mara ngapi wao na wengine wamekuwa wakinukuliwa wakisema kuwa katiba ya mwaka 1977 ina matatizo?
Na mara ngapi Zanzibar tume "move" dosari hizi za kikatiba zirekebishwe kisheria tumepuuzwa na viongozi wetu kufukuzwa madarakani na kutishwa, mlitaka tufanye nini? tumsubiri nani, mapaka lini arekebishe?

Na siyo wao chadema walivamia hoja ya mabadilikoya katiba baada ya kushindwa uchaguzi mkuu, mbona siku hizo zote Wazanzibari wanapiga makelele ya mabadiliko ya katiba wamenyamaza, chadema na Tundu Lissu wao waache unafiki na uzandiki!
 
Waambie Wazanzibari kuwa nasi tumewachoka huku Tanganyika. Kumbuka hoja ya Mwl. Nyerere kuzima hoja ya Tanganyika na G55, alisema kuwa hoja hiyo imeletwa kwa hali ya " Tumewachoka Wazanzibari" Mwl alikuwa sahihi kabisa maana kelele zao zinachosha pamoja na kuwa wao ndio wanaopendelewa na huu Muungano batili. Wambieni wapige kura ya maoni, waukatae Muungano na sisi tupate Mama Tanganyika wetu. Tunaweza kushirikiana nao kama ilivyo Rwanda au Burundi. Mungano ukivunjika kero zitaisha. Wajue kuwa ajira ndani ya Bunge na kwenye vyama vya siasa ndio kwao mwisho, wataunda kwao huko huko. Maduka ya Wapemba ndio mwisho. Mchele wetu wanaopeleka Arabuni kuwa wamelima wao ndio mwisho. WAAAAAMMMMBBBBIIIIEEEENNNIIIIIIIIIIIIIIII!!!!!!!!!!
 
Jamani watu milioni mbili wanasumbua vichwa zaidi ya millioni arobaini. Kazi kweli kweli. Ifike wakati maamuzi ya hii Tanzania yafanywe na wananchi wake na si Watawala na hapo ndipo tutajua ni nani hasi anamuhitaji mwenzake. Ni wazanzbari au ni watangayika? Wananchi au watu au wenye nchi zote mbili waulizwe? Tumechokaa na ujinga huu.
 
Urges member states to disregard Tanzania`s fears about land, labour
Rwandan President Paul Kagame has asked the East African Community member states to disregard fears expressed by Tanzania over land and free movement of labour as they seek to achieve the regional bloc's political federation.
 
kwani kunyukana kati ya vijana na wazee kila mmoja akitaka rais atoke kanda yao.
hii inaashiria vurugu kati ya ccm na tanzania kwa ujumla.
busara ya kuepusha haya ni rais atoke Zanzibar.
 
Back
Top Bottom